Ubabe wa Israel Kijeshi

Sawa kuokoa kwa wakati mmoja wameshindwa, hadi kujua walipo wameshindwa, usibishe kiongozi wa Hamas kasema na vyanzo vya Israel vimesema askari waliokufa wanafika 3000.

Ambacho hujui ni kwamba Hezbollah wana gwanda za kijeshi na hawajichanganyi na raia , jamaa wapo full gear, lakini wakianza kichapo IDF anakubali. 2006 hio hapo mbona Israel alikubali masharti. Hivyo kusema Hamas wana nguo hazieleweki ndio kuna ugumu kupambana nao ni kukosa point.

ISIS si walikuwa wanavaa na kujicchanganya na raia, wakaingia Hezbollah , Russia na Iran, mbona jamaa walipotea wako wapi?
 
Sasa hiyo vita anapigana na nani sasa au hao wanawake,watoto ,wagonjwa na wanafunzi maana hadi Leo Hamas wapo na wanawasiliana kuhusu mateka.
 
Kakubali masharti yote ya Hamas

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu ๐Ÿ˜„

3 vifaru vyao visitingishike

4 marekwa 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
 
Ila hawa jamaa walijua kutupwaga,, mana ilifikia kipindi wengine tulijua Israel ukipiga bomu linadunda ๐Ÿ˜‚,,
Manina zao hao hawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna jamaa nilimkuta anamuambia mwenzake eti mu Israel mmoja ni sawa na watu 100 ๐Ÿ˜‚ , si ndio akili za hawa wa Israel wa jf.
 
Mkuu Yaani umeandika kishabiki kweli kweli!
Kutokana na jinsi ambavyo karibu dunia nzima wanafuatilia vita hivi,data ulizotoa siyo za ukweli.
Israel haikuomba poo! Hii ni kutokana na shinikizo la Jumuia ya Kimataifa ikiwemo na Marekani kuitaka Israeli isitishe mashambulizi ya kijeshi ambayo yamegharimu maisha ya Wapalestina wengi sana tangu vita ianze.Hiki ndicho kimepelekea Makubaliano ya kubadilishana mateka na wafungwa wa kipalestina kadhaa.
Lakini Mkuu unashangilia nini wakati Gaza imeachwa ni Magofu na Wapalestina wengi wamekufaa?
 
Ndan ya Gaza wavaa kanzu na vilemba ni wachache mno wengi wanavaa beli na jinzi
 
ISIS si walikuwa wanavaa na kujicchanganya na raia, wakaingia Hezbollah , Russia na Iran, mbona jamaa walipotea wako wapi?
Isis walishindwa na Marekani kwa kushirikiana na wakurdi (YPG), sio hawa unaowataja hapa.

hawa kina Iran,Russia walishambulia makundi mengine kama Free Syrian army, HTS (Al nusra) na wapinzani wengine wa Assad.


Hao Hezbollah wangeshinda 2006 kama unavyodai hapa huenda Israel isingekuwepo hapo ilipo.

Hao Hamas wanaotumia raia Kama ngao sio rahisi kupambana nao maana utaishia kuua raia wengi, kama tunachokiona huko Gaza.


usibishe kiongozi wa Hamas kasema na vyanzo vya Israel vimesema askari waliokufa wanafika 3000.
Weka hicho chanzo hapa.....
 
Ungependa wapalestina wangapi wafe ili uamini kuwa hamas waliingia cha kike
 
haikuomba poo! Hii ni kutokana na shinikizo la Jumuia ya Kimataifa ikiwemo na Marekani kuitaka Israeli isitishe mashambulizi ya kijeshi ambayo yamegharimu maisha ya Wapalestina
Marekani haiwezi kuitaka Israel isitishe mapigano kwa kuwa marekani ni Israel na Israel ni marekani, hapa wote kwa ujumla wameomba poo kwa kuwa Israel bila marekani ni sawa tu na dangote wa kule Arusha na genge lake la ukabaji,, Israel anapigika ila media zinaficha, wananchi hawataki na ndio mana viongozi wameomba poo.
 
Sasa hiyo vita anapigana na nani sasa au hao wanawake,watoto ,wagonjwa na wanafunzi maana hadi Leo Hamas wapo na wanawasiliana kuhusu mateka.
Hamas hawawezi kukwepa lawama kwa kuwaletea Wapalestina maafa na kwa unyama na Ugaidi walioufanya dhidi ya raia wa Israel.

Israel pia inastahili lawama kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi na kuua makumi elfu ya raia.

 
Poleni sana Hamas tawi la Kwamtogole
 
Ungependa wapalestina wangapi wafe ili uamini kuwa hamas waliingia cha kike
Ushindi vitani sio kuua watoto na wanawake na kubomoa majengo,, kama yeye kweli muisrael mwanaume mboni kashindwa kukomboa mateka mpaka wa leo na ana kila silaha ya kisasa unayoijua wewe,, ukiacha wanaume wa gaza wanaotumia rpg na magobore
 
Shinikizo gani wewe? Umoja wa mataifa umeshinikiza mara ngapi Palestine itambulike nchi hao wa5enge wanajifanya kichwa ngumu? vita ya 2006 baada ya kuchezea sana wakakubali mazungumzo na Hezbollah, walijifanya wanakwenda Lebanon kutafuta mateka yalifikia wapi?

Hamas wanaume hao hapo wamesema hampati mateka lazima tubadilishane mbona wamekubali? unapigana na migambo wanakupa na masharti unakubali, Israel kwa uoga ilifikiri kupiga raia na watoto, kupiga majengo eti Hamas wangeogopa, yako wapi sasa, hao hapo wamekubali kuachia wafungwa 150 kwa watu 50 ๐Ÿ˜‚ .

Israel si ndio kaenda kumshawishi Qatar, Qatar awa please hao jamaa.

Kuhusu vifo vya askari wa Israel ni kweli, na muda hapo mbele kila kitu kitadhihirika, Hamas wamesema askari 3000 wamelambwa, wengine Israel haijachukua hata miili. Na vyombo vya habari Israel wameanza kuthibitisha, askari wengi wamepotea, sijui watawaambia nini ndugu zao.

Leo ndio wanajifanya wanakubali mazungumzo, miaka yote hio wanakatazwa uonevu wanajifanya wababe.
 
Wapalestina wa JF mmechafukwa ndugu zenu 12k wameangamia Gaza mmebaki kutupigia kelele tu humu! Mashabiki wa Mudi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ