100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
- Thread starter
- #41
Sawa kuokoa kwa wakati mmoja wameshindwa, hadi kujua walipo wameshindwa, usibishe kiongozi wa Hamas kasema na vyanzo vya Israel vimesema askari waliokufa wanafika 3000.Bila chanzo hizi ni soga tu.
Kuokoa mateka 200+ kwa wakati mmoja haiwezi ikawa rahisi kama unavyojaribu kutuonyesha hapa.
Isitoshe hao Hamas sio jeshi kamili (conventional army) Ila wanamgambo tu wanaoweza kujichanganya na raia muda wowote wasitambulike.
Kingine Israel hajashindwa Vita ndio maana northern Gaza yote ipo mikononi mwao na kusitisha Vita ni kwa ajili ya mahitaji ya kibinadamu tu hasa kwa raia wa Gaza.
Alafu acha kushabikia Vita maana wanaokufa wengi wao ni watoto wadogo, wanawake na raia wa kawaida wasio na hatia.
Ambacho hujui ni kwamba Hezbollah wana gwanda za kijeshi na hawajichanganyi na raia , jamaa wapo full gear, lakini wakianza kichapo IDF anakubali. 2006 hio hapo mbona Israel alikubali masharti. Hivyo kusema Hamas wana nguo hazieleweki ndio kuna ugumu kupambana nao ni kukosa point.
ISIS si walikuwa wanavaa na kujicchanganya na raia, wakaingia Hezbollah , Russia na Iran, mbona jamaa walipotea wako wapi?