Ubabe wa Israel Kijeshi

Ubabe wa Israel Kijeshi

Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war[emoji23].

Hio six days war kashindwa kuidhihirisha pale Gaza, kaeneo km square 369, Kigamboni hio ina 578km square. Kuna vitu vinachekesha, nchi inapigana na wilaya hadi inaomba poo[emoji23], ni aibu.

Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.

Wakajifanya kuingia Gaza kutafuta mateka kuionyesha dunia wao ni wababe, matokeo yake wamelambishwa mchanga hadi wakaomba mazungumzo. Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. [emoji23] , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200[emoji23], dah propaganda mbaya sana.

Israel ina propaganda sana, na katika watu wanajua kuji brand hilo nawasifu, wanajua kujisifu na kujipigia chapuo na kuaminisha wengine ambao ni vilaza, wakifanya kitu kidogo kelele kibao wakati kuna watu wanafanya vitu vya hatari kuliko.

Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?

Mmejipanga msururu na vifaru, magari ya deraya, airforce lakini mwishoni mmeishia kuua watu 14000 kati yao watoto ni nusu yake. Na raia wasio na hatia.

Yaani unaua vitoto karibu 7000 havijui chochote, ugaidi wa kutisha kabisa.

I bet Israel hata South Africa haiwezi pambana nayo, usiende Iran wala Korea huko atachapika apotee.

Israel imeonyesha uchovu wa hali ya juu, sasa wazee wa kazi Hezbollah wameingia kazini, hapo Netanyau lazima akubali tu, kwa sababu hadi sasa wananchi wanawatukana viongozi wao hawana akili.
Wanajiita taifa teule kenge wale[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Israel sahivi size yao sio Hamas tena labda Panyaroad!!
 
Ila tulilishwa propaganda sana, wana kifaru kimoja wanakiita kitanda cha mungu, wayahudi wa Baga moyo walikuwa wanashinda humu wanatulisha matango pori ya kuwa huwa hakipigiki na ant tank yeyote kwa sababu kina mifumo ya kujilinda, lakini leo tunaona vinaunguzwa na vi ant_tank vilivyo tengenezwa kienyeji na visivyo kuwa na nguvu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Merkava tank inavunjwa na rpg ya Yasin 103 vile ni vifaru au box?
 
[emoji23]Kwamba kitanda cha Mungu. Kimekua kitanda cha shetani.[emoji23]
Kingine kinachopelekea hawa jamaa propaganda zao kuaminiwa ni hawa viongozi wa dini ambao hawajui historia wala elimu yeyote, kama kuna dada mmoja mke wa mchungaji nikaona status eti I stand with Israel [emoji23][emoji23][emoji23], Hajui hata anachosema.

Wamelishwa matango pori kwamba its choosen one, wana akili, hawapigiki, nchi takatifu[emoji23].

Israel hata ikitengeneza manati utaambiwa sio ya kawaida.
Tiktok army[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ndicho hicho. Kama hadi kidukunna vikwazo vyote anatengeneza mabomu ya masafa marefu, njoo kwenye vita ya ukraine drones hadi ndogo ambazo zinauzwa dollar kadhaa zinakuwa modified kufanya kazi za warfare.
Hivi vitu vilikuwa adimu sana kipindi kile.
Kuna vitu vilikuwa vinashangaza sana ila kwa muda mfupi vimekuwa kawaida.
Pongezi nyingi sana kwa nchi kama China, Iran na Russia, kuhakikisha kwamba hizi tech hazina upekee wowote, unaona kama Iran amemsaidia Russia drones, Russia na yeye katoa drones zake zinatumia AI ni noma na nusu.

Mambo yanabadilika kwa kasi sana. Hii sio miaka ya 60 na 70.
 
Mmepata pause ya siku 4 tu mmeanza kelele,subiri mambo bado hakuna gaidi atabaki salama safari hii,unapomsema Israel tuambie wewe umefanya nini angalau Israel umetaja alichokifanya kwenye six day war,nyie kama wapelastina mmefanya nini,mmeshindwa kuunda taifa miaka nenda rudi,tena mmegawanyika wenyewe kwa wenyewe mna Gaza strip mna west bank,mtaweza kushindana na Israel wenye serikali imara miaka nenda rudi?
 
Ngoja waje Waisrael wa ifakara waanze kukuletea taarifa za Oparesheni Entebbe ya Kule Uganda,

yani fact nyingne naonaga ni za kipuuzi kweli kweli Hiyo oparesheni yenyewe ya kujisifia ni kwa Nchi kama Uganda kweli !!? Nchi ambayo hadi sisi Watanganyika na Mabomu yetu ya kienyeji kipindi hicho tuliweza kuwapiga.
 
Hata mimi nashangaa sana.

Gaza is small area kwa Israeli tunayoambiwa inaweza kupiga dunia nzima
Ni kama Urusi tu.

Vita sio mchezo.

Hamas ni wanaume
Sasa fikiria hao mateka kwa nini hawa wafikii hadi waingie makubaliano kuachia watu 150 dhidi ya 50? ina maana wameshindwa totally, wamebaki kutumia media tu, vitu vingine ni kujiuliza maswali mepesi tu.
 
Ngoja waje Waisrael wa ifakara waanze kukuletea taarifa za Oparesheni Entebbe ya Kule Uganda,

yani fact nyingne naonaga ni za kipuuzi kweli kweli Hiyo oparesheni yenyewe ya kujisifia ni kwa Nchi kama Uganda kweli !!? Nchi ambayo hadi sisi Watanganyika na Mabomu yetu ya kienyeji kipindi hicho tuliweza kuwapiga.
Aisee wametengeneza hadi na movie😂😂😂, dah taabu tupu mkuu, ndio ujue propaganda ni noma.
 
Israel wamepata dharau ya mwaka aisee yani Wanapelekeshwa na hao Wanamgambo wanaopokezana Bunduki,

Hzi nchi zinaogopeka kweny makaratasi tu ili Front ni Urojo kabsa, kama hiyo iron Dome ndo mashudu matupu ilivyokuwa inapambwa humu Mitandaoni na inacho deliver ni vitu tofauti,

kiufupi Israel baad ya kuona kazidiwa maarifa akaamua sasa kupigana na Maghorofa na Watoto wa Wodini, aibu sana hii
 
Wawashukuru Qatar ndiyo wamewabembeleza Hamas walikuwa wamekata kuwaachia mateka yule Waziri wa Ulinzi mikwara kibao no water no food no electricity😂

Halafu wanaingia usiku na vifaru kiza Gaza wamechezea kichapo wanasema hawafahamu Hamas wanatokea wapi.
 
Israel wamepata dharau ya mwaka aisee yani Wanapelekeshwa na hao Wanamgambo wanaopokezana Bunduki,

Hzi nchi zinaogopeka kweny makaratasi tu ili Front ni Urojo kabsa, kama hiyo iron Dome ndo mashudu matupu ilivyokuwa inapambwa humu Mitandaoni na inacho deliver ni vitu tofauti,

kiufupi Israel baad ya kuona kazidiwa maarifa akaamua sasa kupigana na Maghorofa na Watoto wa Wodini, aibu sana hii
Unasikia zile story zao walienda kuua mtu hotelini😂, eti wakatumwa kidon na kikosi cha ku hack😂, aah jamaa kwa story na kujipamba hawajambo, Gaza hio hapo imewashinda.
 
Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.
Bila chanzo cha hii taarifa, hii ni mojawapo ya soga tu.


Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?
Kuokoa mateka 200+ kwa wakati mmoja haiwezi ikawa rahisi kama unavyojaribu kutuonyesha hapa.

Isitoshe hao Hamas sio jeshi kamili (conventional army) Ila wanamgambo tu wanaoweza kujichanganya na raia muda wowote wasitambulike.


Kingine Israel hajashindwa Vita ndio maana northern Gaza yote ipo mikononi mwao na kusitisha Vita ni kwa ajili ya mahitaji ya kibinadamu tu hasa kwa raia wa Gaza.

Alafu acha kushabikia Vita maana wanaokufa wengi wao ni watoto wadogo, wanawake na raia wa kawaida wasio na hatia.
 
Mmepata pause ya siku 4 tu mmeanza kelele,subiri mambo bado hakuna gaidi atabaki salama safari hii,unapomsema Israel tuambie wewe umefanya nini at least Israel umetaja alichokifanya kwenye six day war,nyie kama wapelastina mmefanya nini,mmeshindwa kuunda taifa miaka nenda rudi,tena mmegawanyika wenyewe kwa wenyewe mna Gaza strap mna west bank,mtaweza kushindana na Israel wenye serikali imara miaka nenda rudi?
Aliye omba mazungumzo ni Israel mzee, na amekubali matakwa ya Hamas, mi nakuuliza Gaza ilivyo ndogo na inelligence ya Israel mlioaminishwa inakuwaje wanakubali kubadilishana wafungwa na Hamas na wafungwa wapo Gaza pale? Kaeneo kanazidiwa na wilaya ya Kigamboni almost mara mbili?

Wapalestina waliwakaribisha Israel kirafiki, lakini wao Israel ndio chanzo kuwavuruga.
 
Dunia imebadilika siku hizi sema mafan boys hawataki kukubali.
Yale madrone yaliyokuwa anayo marekna us na ufaransa na israel siki hizi iran, china, uturuki wanayafyatua kama mitoy yanawafikia hao mgambo pia.
Vitu vingi ambavyo zaman walikuwa wanavitumia kunyanyasa watu hata hao nao wanavyo so vita aliyopigana na waarab kipindi kole akawashinda ikipiganwa leo hawezi kutoboa
Vita vyote alivyopigana Israel dhidi ya waarabu,nyuma yake palikua na USA, UK na france
 
Back
Top Bottom