Isis walishindwa na Marekani kwa kushirikiana na wakurdi (YPG), sio hawa unaowataja hapa.
hawa kina Iran,Russia walishambulia makundi mengine kama Free Syrian army, HTS (Al nusra) na wapinzani wengine wa Assad.
Hao Hezbollah wangeshinda 2006 kama unavyodai hapa huenda Israel isingekuwepo hapo ilipo.
Hao Hamas wanaotumia raia Kama ngao sio rahisi kupambana nao maana utaishia kuua raia wengi, kama tunachokiona huko Gaza.
Weka hicho chanzo hapa.....
Historia imekupita kushoto mkuu..
USA ndio walifund ISIS mwanzoni na sasa wanapambana nao tena.......
US walifund na kusaidia kundi la ISIS, hii inaanzia Afghanistan kuleeee, kipindi USA anakabiliana na USSR, USA walifund kundi la kigaidi kupambana na USSR, hilo kundi ndipo likaja kuwa Taliban na Al Qaeda, Kutoka Al Qaida sehemu yake kwa Syria na Iraq ndipo ikazaliwa ISIS, did you know that?
Marekani imechangia pakubwa kustawisha ISIS iwepo middle east. Wewe unachoshangaa hasa ni kipi?
US ndio walidhamini vikundi vya watu kumtoa Gadafi madarakani, Gaddafi alikuwa bora zaidi mara milioni mia kuliko hii serikali iliyopo sasa Libya.
Gaddafi alisaidia watu, serikali ilikua mpaka inawalipia watu ada za elimu ya juu nje ya nchi, mara ya mwisho ile video kipindi wanamuua Gaddafi alisema "Nimewafanyia nini"?
Kila wanapo fund haya makundi na kumaliza haja zao, mnaachwa hapo mnauana kama kuku, na machafuko hatari kabisa, na hapo USA huyo anakwenda zake kashamaliza kazi.
Kinachofanyika Syria si kigeni, hao ISIS wangeshika madaraka watu wangemkumbuka tena Assad, and this time wajanja wakaona its enough, enough is enough.
US kuwashambulia Syria ni unafiki tu uliowazidi, lakini Russia alipoingia tu Syria mambo yalibadilika, miezi miwili tu ISIS walikuwa wanajuta.
Unaambiwa operation iliyofanywa na Russia kwa miezi miwili tu, ni zaidi ya US ambae kwa mwaka mzima alikuwa anawashambulia ISIS.
Hivyo USA walii support terrorists group kuipiga USSR na baadae wakaaanza tena kuwapiga hao hao waliokuwa wana wa fund, are you there?
Kwani kwa Saddam Hussein ilikuwaje? Si ali fund waipige IRan, baadae akaingia kumpiga Saddam huyo huyo USA.
US hapo Syria walikuwa wanafund vikundi ambavyo ni anti-Assad kama Al-Nusra ambapo tena wana mfungamano na Al-Qaida, pia kikundi kinaitwa FSA (Free Syrian Army) ambao wana mfungamano na ISIS.
Kwa hio USA anapigana na ISIS wa namna hii na ku support wa ISIS wa namna ile.
Unaambiwa magaidi hawana hamu na Russia, Russia hana michezo ya kijinga ya kuzungukana kijinga jinga kama anavyo fanya USA na hao Israel.
Russia hana mazoea na michezo hio, Russia waliua familia za magaidi waliofanya ugaidi kipindi cha Chechen war, na miili haikurudishwa,
Russia hana double games za kijinga kama za hao Israel na USA, Chechen sasa hivi ni historia.........
Nina mengi saaaana ya kuongea lakini niishie hapo........ Thanks......................................