Ubabe wa Israel Kijeshi

Ubabe wa Israel Kijeshi

Sasa kama mgambo wa hamas anahangaika nae miezi miwili bila ya mafanikio kwa akili yako ataweza kupigana vita na nchi yoyote ya maana? Kama hapo gaza tu kashindwa kuokoa mateka wake hiyo imtelligence yake ipo wapi si bora tupeleke tiss watafanya kazi ya maana
Shida iko wapi? Nyie mmechanganyikiwa, huyo Iran mnayemsifia amepigana vita vingapi hivi karibuni? Mbona huyo Iran ameogopa hata kunusa pua hapo Gaza?
 
Mstari mwekundu ushavukwa hakuna kinachoendelea.
Kinachosababisha Israel asiharibu hovyo ni mateka
Sawa nani amsaidie kuokoa mateka? Kadhindwa ndio maana kafanya mazungumzo, i said before israel ni propaganda nyingi bila ya marekani anaaibika
 
Aisee uzi wa propaganda huu, vita haina mshindi kamwe. Ukweli mnajua sijui kwa nini mnatumia nguvu kubwa namna hii kuainisha mbabe wa hii vita. Muda utaamua, hakutakuwa na mshindi mwisho wa siku ila kuna upande utapoteza sana na mwingine utapoteza kidogo.

So far mpaka sasa Palestine inapoteza saana tuu. Nafikiri cease fire ndio uamuzi sahihi, ikiendelea hivi hivi yajayo yatahuzunisha sana.

Tukumbushane kuwa tangu kuanzishwa kwa hii Dunia huwa kuna kitu kinaitwa Alliance,ikimaanisha hakuna taifa linasimama peke yake. kwa sasa tuna NATO, Group of Russia, China and North Korea, Arab coalition (sijui kama bado ipo) na independent alliance zingine. Wakati wa vita huwa mataifa haya yanasimama pamoja. Ninachojiuliza mpaka sasa Arab countries zipo aidle tuu sioni zikiwa na mchango wowote kwa Palestine kama NATO wafanyavyo.

Kwa mtazamo wangu, Hali ikiendelea hivi, Palestine itaathirika sana na itapoteza raia wengi sana ambao hawana hatia. Jambo jingine, vita haina macho. HAMAS hawana formal Millitary, na hakuna namna ya kutofautisha kati ya Raia na Mwanajeshi wa HAMAS. Na hapa ndipo shida kubwa inaanzia na inasababisha hali hii tunayoiona.

Hata hivyo, Israel imejitahidi sana kujizuia, maana kungeweza na vifo vingi zaidi ya hapo Palestine hususani vya raia wa kawaida.

Mwisho, tusibeze uwezo wa Israel kijeshi ingawa ina madhaifu yake pia. Lakini tusidharau uwezo wa HAMAS maana Vita ni mbinu na sio machinery ulizo nazo. Sasa sijui huu ushabiki hapa jukwaani Lengo lake ni nini maana hii vita wote tunaiona na tunashudia yanayojiri na kimsingi yanasikitisha sana. Ni maombi yangu kwa Mungu hii vita iishe, West Bank na Gaza (kama itakuwepo mwishoni mwa hii vita) ziungane kuunda taifa moja na Israel aendelee na mishe zake zingine.
 
Sasa fikiria hao mateka kwa nini hawa wafikii hadi waingie makubaliano kuachia watu 150 dhidi ya 50? ina maana wameshindwa totally, wamebaki kutumia media tu, vitu vingine ni kujiuliza maswali mepesi tu.
Fikiria Operation Entebe 1976 then ndo uje kupiga kelele. Tusubiri mission ikamilike. Inzi kwenye kidonda hapigwi Rungu.
 
Mstari mwekundu ushavukwa hakuna kinachoendelea.
Kinachosababisha Israel asiharibu hovyo ni mateka
Aharibu mara ngapi, kaua watu 14k , Hezbollah wamesema aendelee aone cha moto. Mbona kafyata, unaposema issue ni mateka ina maana alikuwa anajua mateka walipo kuwa, hivyo akawa anapiga baadhi ya sehemu, lakini kama alijua walipo wenyewe si wakali wa operation imekuwaje wameshindwa kwenda kuwapokonya migambo tena kaeneo kadogo kanaingia mara mbili kigamboni? F16, F35 za mchongo wapi, Kidon, Mossad , unit 8200 wapi? iron dome, merkava wapi? US and EU aid, shin bet wapi? wamebakiza propaganda, wamekomeshwa.😂😂😂
 
Aisee uzi wa propaganda huu, vita haina mshindi kamwe. Ukweli mnajua sijui kwa nini mnatumia nguvu kubwa namna hii kuainisha mbabe wa hii vita. Muda utaamua, hakutakuwa na mshindi mwisho wa siku ila kuna upande utapoteza sana na mwingine utapoteza kidogo.

So far mpaka sasa Palestine inapoteza saana tuu. Nafikiri cease fire ndio uamuzi sahihi, ikiendelea hivi hivi yajayo yatahuzunisha sana.

Tukumbushane kuwa tangu kuanzishwa kwa hii Dunia huwa kuna kitu kinaitwa Alliance,ikimaanisha hakuna taifa linasimama peke yake. kwa sasa tuna NATO, Group of Russia, China and North Korea, Arab coalition (sijui kama bado ipo) na independent alliance zingine. Wakati wa vita huwa mataifa haya yanasimama pamoja. Ninachojiuliza mpaka sasa Arab countries zipo aidle tuu sioni zikiwa na mchango wowote kwa Palestine kama NATO wafanyavyo.

Kwa mtazamo wangu, Hali ikiendelea hivi, Palestine itaathirika sana na itapoteza raia wengi sana ambao hawana hatia. Jambo jingine, vita haina macho. HAMAS hawana formal Millitary, na hakuna namna ya kutofautisha kati ya Raia na Mwanajeshi wa HAMAS. Na hapa ndipo shida kubwa inaanzia na inasababisha hali hii tunayoiona.

Hata hivyo, Israel imejitahidi sana kujizuia, maana kungeweza na vifo vingi zaidi ya hapo Palestine hususani vya raia wa kawaida.

Mwisho, tusibeze uwezo wa Israel kijeshi ingawa ina madhaifu yake pia. Lakini tusidharau uwezo wa HAMAS maana Vita ni mbinu na sio machinery ulizo nazo. Sasa sijui huu ushabiki hapa jukwaani Lengo lake ni nini maana hii vita wote tunaiona na tunashudia yanayojiri na kimsingi yanasikitisha sana. Ni maombi yangu kwa Mungu hii vita iishe, West Bank na Gaza (kama itakuwepo mwishoni mwa hii vita) ziungane kuunda taifa moja na Israel aendelee na mishe zake zingine.
Ikiendeleaa atakayeumia ni Israel, Israel inaua raia wasio na hatia kwa sababu kazidiwa kila kitu kuanzia intelligence na mbinu za kivita.

Swali tunalouliza Israel ya highly tech weapons na intelligence, six days war, operation entebbe, ipo wapi inashindwa kuokoa mateka Gaza? kaeneo kapo hapo hapo ndani ya Israel.
 
Shida iko wapi? Nyie mmechanganyikiwa, huyo Iran mnayemsifia amepigana vita vingapi hivi karibuni? Mbona huyo Iran ameogopa hata kunusa pua hapo Gaza?
Iran apigane na nani kwa ukubwa wake wa Tech.

Yeye mkubwa napiganisha PROXIES tu.

Hezbollah ni proxy wa Iran mkuu.
Angalia nguvu yake ndo ujue nguvu kamili ya mfadhili
 
Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂.

Hio six days war kashindwa kuidhihirisha pale Gaza, kaeneo km square 369, Kigamboni hio ina 578km square. Kuna vitu vinachekesha, nchi inapigana na wilaya hadi inaomba poo😂, ni aibu.

Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.

Wakajifanya kuingia Gaza kutafuta mateka kuionyesha dunia wao ni wababe, matokeo yake wamelambishwa mchanga hadi wakaomba mazungumzo. Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.

Israel ina propaganda sana, na katika watu wanajua kuji brand hilo nawasifu, wanajua kujisifu na kujipigia chapuo na kuaminisha wengine ambao ni vilaza, wakifanya kitu kidogo kelele kibao wakati kuna watu wanafanya vitu vya hatari kuliko.

Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?

Mmejipanga msururu na vifaru, magari ya deraya, airforce lakini mwishoni mmeishia kuua watu 14000 kati yao watoto ni nusu yake. Na raia wasio na hatia.

Yaani unaua vitoto karibu 7000 havijui chochote, ugaidi wa kutisha kabisa.

I bet Israel hata South Africa haiwezi pambana nayo, usiende Iran wala Korea huko atachapika apotee.

Israel imeonyesha uchovu wa hali ya juu, sasa wazee wa kazi Hezbollah wameingia kazini, hapo Netanyau lazima akubali tu, kwa sababu hadi sasa wananchi wanawatukana viongozi wao hawana akili.
Vilio vingi na maandamano kutoka mataifa mbali mbali ndo vimesababisha mchezo uchelewe.
Nashangaa na wewe kwenye bandiko lako kutoweka ''cease fire''
 
Ungependa wapalestina wangapi wafe ili uamini kuwa hamas waliingia cha kike
Wafe wapalestina au Hamas? Kwahiyo Hamas mmekubali hamuwawezi? Mkaona mtafute easy targets muue wanawake na watoto....hamna taifa nalidharau kijeshi kama Israel sababu nimeshuhudia udhaifu wao
 
Ikiendeleaa atakayeumia ni Israel, Israel inaua raia wasio na hatia kwa sababu kazidiwa kila kitu kuanzia intelligence na mbinu za kivita.

Swali tunalouliza Israel ya highly tech weapons na intelligence, six days war, operation entebbe, ipo wapi inashindwa kuokoa mateka Gaza? kaeneo kapo hapo hapo ndani ya Israel.
Naungana na wewe hawa wehuni Wana maneno mengi ukizingatia distance kati ya Uganda na Gaza unapata picha halisi
 
Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂.

Hio six days war kashindwa kuidhihirisha pale Gaza, kaeneo km square 369, Kigamboni hio ina 578km square. Kuna vitu vinachekesha, nchi inapigana na wilaya hadi inaomba poo😂, ni aibu.

Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.

Wakajifanya kuingia Gaza kutafuta mateka kuionyesha dunia wao ni wababe, matokeo yake wamelambishwa mchanga hadi wakaomba mazungumzo. Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.

Israel ina propaganda sana, na katika watu wanajua kuji brand hilo nawasifu, wanajua kujisifu na kujipigia chapuo na kuaminisha wengine ambao ni vilaza, wakifanya kitu kidogo kelele kibao wakati kuna watu wanafanya vitu vya hatari kuliko.

Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?

Mmejipanga msururu na vifaru, magari ya deraya, airforce lakini mwishoni mmeishia kuua watu 14000 kati yao watoto ni nusu yake. Na raia wasio na hatia.

Yaani unaua vitoto karibu 7000 havijui chochote, ugaidi wa kutisha kabisa.

I bet Israel hata South Africa haiwezi pambana nayo, usiende Iran wala Korea huko atachapika apotee.

Israel imeonyesha uchovu wa hali ya juu, sasa wazee wa kazi Hezbollah wameingia kazini, hapo Netanyau lazima akubali tu, kwa sababu hadi sasa wananchi wanawatukana viongozi wao hawana akili.
Hebu nendeni muwasaidie magaidi wa hamas Acha maeneno mengi hapa jukwaan mtakuja kushutuk Israel amechukua gaza yote
 
Mmepata pause ya siku 4 tu mmeanza kelele,subiri mambo bado hakuna gaidi atabaki salama safari hii,unapomsema Israel tuambie wewe umefanya nini at least Israel umetaja alichokifanya kwenye six day war,nyie kama wapelastina mmefanya nini,mmeshindwa kuunda taifa miaka nenda rudi,tena mmegawanyika wenyewe kwa wenyewe mna Gaza strap mna west bank,mtaweza kushindana na Israel wenye serikali imara miaka nenda rudi?
Hamnaga kitu mpo weupe sana Kwa kweli Hamasa kawavua nguo huu ndio Mwanzo wa kuheshimiana kama Marekani kakubali kusimamia mazungumzo ujuwe MAJI NI YA SHINGO
 
Iran na yemen wame beep majibu wanayo,wanawake na watoto ndio wahanga wa huo uchokozi wao.Kuhusu Iran anajijua kuwa ndiye next target kwani historia mmeisahau?wana allah kwa mayowe hamjambo tumewazoea.
Kwa Israel ipi hii ya mashoga??
 
Kakubali masharti yote ya Hamas

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu [emoji1]

3 vifaru vyao visitingishike

4 marekwa 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
Mamaeee
 
Back
Top Bottom