KERO Ubadhirifu pesa za bima na matibabu National Sugar Institute (NSI) Kilombero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Chuo cha sukari cha taifa (National Sugar Institute) cha kilombero tunawalipia pesa ya bima ya afya toka mwaka wa kwanza lakini hawapewi bima yoyote hadi wanakaribia kuhitimu.

Mkuu wa chuo anawaambia hataki kuulizwa kuhusu bima, waombee wasiugue au wajilipie wenyewe matibabu.

Tunaomba uchunguzi ufanyike wanakopeleka pesa za matibabu ya wanafunzi
 
Gentleman,
ukiugua si unapata matibabu lakini au?🐒
 
Back
Top Bottom