Paskali anasotea Uteuzi!Mayalla,
Labda umeamua kutania kidogo. Seriously una maanisha donor anamkabidhi waziri fedha ndio aje kufanya audit
Paskali.. Huyu ni wewe kweli?
Aisee!!Kwa donars ukichelewa kupeleka retirement wanaa define kama ni matmizi mabaya, si lazima iwe kuwa zilitumika ndivyosivyo
Hii donor kantri ni shida. Hawataki Kuambiwa kweliBajeti ya sekta ya Afya inafadhiliwa na na mataifa ya Ulaya na America kwa takriban 80%. Yaani kwa kila Shillingi inayotumika kutibu binadamu Tanzania, Senti 80 imaletwa na wafadhili kwenye dawa za ukimwi, malaria, Kifua Kikuu, Uzazi wa Mpango, Chanjo za watoto na magonjwa yaliyo sahauliwa.
Unashangaa nchi tegemezi kama hii, wafadhili hao hao wakiuliza kuhusu utawala bora tunawaita mabeberu.
Ndiyo maana JPM hana mswalie mume na Watumishi wa Umma. Anatumbua tu
Ongeza sautiKumbuka kuwa Mpango kama waziri wa fedha anaongoza taasisi ambazo zina wajibu wa kusimamia kuwa fedha zinatumika kama zilipangiwa na kukusudiwa. Taasisi kama National Audit office zingeweza kugumdua matumizi mabaya ya fedha kutoka Global fund badala ya kungoja mpaka muabishwe kuwa hii ni nchi ya wabadhilifu!!
Mpango hana la kujitetea kwa hilo ni kutokuwa msimamizi mzuri wa taasisi zilizo chini yake.
Pascal Mayalla,
Pascal pls for heavens sake STOP defending magufuli and his gangsters, how can a minister not know what is taking place with such funds for sure? acha kutetea wala rushwa na wauaji wa ccm,hii ndio awamu ambayo imeiba hela nyingi kuliko awamu zote COMBINED.
Wewe ndiyo umefeli baada ya kungiwa njia zote za ufisadi na pesa ya mihadarati, sasa unalia na ukame. Hayo ndiyo matokeo na dawa ya kupata pesa nyingi ambazo haujazifanyia kazi.Serikali ya awamu ya 5 iliamua kumuua Mr.Lwajabe ili 'ikwapue' noti hizo.
Eti Oooh tunapambana na ufisadi! Uongo mtupu. Awamu ya 5 imeshafeli vibaya mno.