Your take is wrong. Serkali imegunduwa na ndiyo maana imesme itashughulikia. Naomba ukumbuke kuwa serkali ya sasa kama hizo za nyuma inashulika na binadamu na haiwezi kuzuia wizi, ila panapotokea wizi wanaoibi wanawajibishwa.
Hata dini zinahubiri juu ya kutotenda dhambi lakini tangu enzi hoizo mpaka zijazo dhambi itakuwa sehemu ya maisha yetu. Hata ughaibuni ingawaje wanatupigia kelele kuhusu wizi, rushwa, na ufisadi lakini hata wao au kwao rushwa, wizi, na ufisadi vipo.
Cha muhimu je hiyo ikitokea tunachekeana na lkundelea na maisha au wahusika wanaadhibiwa.