mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Habarini ndg zangu,
Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa katika upendekezaj wa watu wanaosimamia na wanaoenda marking
Hivi ni kweli mtu yupo kazini huu ni mwaka wa tisa hajawahi kushiriki ili zoezi na wapo ambao ana miaka 2 tu ila kashaitwa hizi kazi za marking na ukifatilia nyuma ya pazia anakwambia penye uzia penyeza rupia.
Huu ubaguzi wa kushiriki kazi maalumu huwa unapunguza sana ufanisi kwa walimu haswa shule zetu hz za serikali. Msipolifanyia kazi mtaendelea kuzalisha kizazi Cha rushwa miaka nenda Rudi.
Baba msonde, naomba fatilia..hili..la sivyo GOD one day ataonyesha njia sahihi ya necta kupita.