Ubaguzi katika kazi maalumu za NECTA (usimamizi na usahihishaji): Haki haitendeki ngazi za Wilaya

Habarini ndg zangu,

Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa katika upendekezaj wa watu wanaosimamia na wanaoenda marking

Hivi ni kweli mtu yupo kazini huu ni mwaka wa tisa hajawahi kushiriki ili zoezi na wapo ambao ana miaka 2 tu ila kashaitwa hizi kazi za marking na ukifatilia nyuma ya pazia anakwambia penye uzia penyeza rupia.

Huu ubaguzi wa kushiriki kazi maalumu huwa unapunguza sana ufanisi kwa walimu haswa shule zetu hz za serikali. Msipolifanyia kazi mtaendelea kuzalisha kizazi Cha rushwa miaka nenda Rudi.

Baba msonde, naomba fatilia..hili..la sivyo GOD one day ataonyesha njia sahihi ya necta kupita.
Mkuu kama huna kadi na huonekani onekani kwenye mikutano ya chama sahau
 
Mkuu jua life is not fair at all

Ila fata ushauri wa wadau

Kuna watu hawajamaliza hata mwaka Kazini na wapo marking ( Usiniulize chochote hapa)

Habarini ndg zangu,

Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa katika upendekezaj wa watu wanaosimamia na wanaoenda marking

Hivi ni kweli mtu yupo kazini huu ni mwaka wa tisa hajawahi kushiriki ili zoezi na wapo ambao ana miaka 2 tu ila kashaitwa hizi kazi za marking na ukifatilia nyuma ya pazia anakwambia penye uzia penyeza rupia.

Huu ubaguzi wa kushiriki kazi maalumu huwa unapunguza sana ufanisi kwa walimu haswa shule zetu hz za serikali. Msipolifanyia kazi mtaendelea kuzalisha kizazi Cha rushwa miaka nenda Rudi.

Baba msonde, naomba fatilia..hili..la sivyo GOD one day ataonyesha njia sahihi ya necta kupita.
 
Habarini ndg zangu,

Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa katika upendekezaj wa watu wanaosimamia na wanaoenda marking

Hivi ni kweli mtu yupo kazini huu ni mwaka wa tisa hajawahi kushiriki ili zoezi na wapo ambao ana miaka 2 tu ila kashaitwa hizi kazi za marking na ukifatilia nyuma ya pazia anakwambia penye uzia penyeza rupia.

Huu ubaguzi wa kushiriki kazi maalumu huwa unapunguza sana ufanisi kwa walimu haswa shule zetu hz za serikali. Msipolifanyia kazi mtaendelea kuzalisha kizazi Cha rushwa miaka nenda Rudi.

Baba msonde, naomba fatilia..hili..la sivyo GOD one day ataonyesha njia sahihi ya necta kupita.
sio uko tu
 
Kwanza nikupe pole kwa kuumizwa na suala hilo ila pia nikushangae na nikupe ufafanuzi kidogo

1. Usimamizi liko chini ya Wilaya na Mkoa ambao ndiyo wanaoteua. Inawezekana baadhi ya watu wakawa wanapendelewa lakini mchakato wa kuidhinisha majina hufanywa na vyombo mablimbali vya serikali. Kwa asilimia kubwa wengi wasiosimamia ni wale wajuaji na Jeuri wanaojifanya hawawezi kutii mamlaka. Anza kumtii Mkuu wako wa Shule na viongozi wengine wa elimu utaitwa tu.

2. Usahihishaji NECTA. Walimu hujaza fomu maalumu na zinarejeshwa baraza ambao NECTA wenyewe ndiyo huteua majina baadhi na kuyapeleka kwa Afisa Elimu Mkoa ambaye huchambua wanaofaa kwa kushirikiana na watu wa Wilayani na wale wa system. Sasa kama wewe jina lako linakataliwa huko kote ujue una kasoro jirekebishe.

3. Kama nilivyoeleza hapo Na. 2. Majina ya wasahishaji hutoka baraza hapo utakuta kuna majina kutoka baraza hujirudia kila mwaka tena karibu kila mtihani. Kwa maana ya kwamba baraza lina walimu wake ambao wengine hufanya kazi tofauti na marking (siri).

4. NECTA nao ni binadamu na kuna makosa wanaweza kuwa wanafanya bila kujua. Mfano mwaka huu wasimamizi wakuu walikuwa walimu wa Sekondari na hao tunaambiwa waliteuliwa na baraza direct. Kuna baadhi walisimamia Std IV, Std VII, Form II, Form IV na bado wameitwa kusahisha. Hapo huwezi kuwalaumu Mkoani au Wilayani, bali baraza wenyewe. Tena hao wasimamizi wakuu walikuwa wanatumiwa SMS na baraza kuwa wameteuliwa kuwa wasimamizi wakuu jambo ambalo nadhani baraza lilikosea.

5. Kuna baadhi ya wasahishaji hujua hadi vituo kabla hata barua hazijafika mkoani, hapo ujue kuwa kule baraza nako kuna watu sio waadilifu ambao wana ndugu/rafiki/classmates wao huko mashuleni hivyo huwapa hizo fursa na info. Yani kuna walimu wamekuwa ni kama waajiriwa wa moja kwa moja wa baraza.

6. Mwisho suala la kusimamia au kusahisha sio kitu unaweza kudai sababu halipo kwenye mkataba wako hivyo ukipata au ukikosa yote sawa. Acha kulalamika, timiza wajibu wako.

Suala la kuteuliwa kufanya kazi fulani linatokana na weledi, juhudi, maarifa, etc ndiyo maana wewe una miaka tisa ni mwalimu wa darasa ila kuna mtu ana miaka 5 ameteuliwa kuwa mkuu wa shule.

Pia wewe una miaka 9-10 kazini bado umepanga chumba cha 40k na wala humiliki kitu chochote cha maana ila kuna mwalimu mwenzako unamuita dogo ana miaka 5-6 kazini ila ana duka zuri, stationery, shamba, nyumba, gari etc sababu hajawekeza kwenye mawazo ya kimasikini ya kuwaza kusimamia mitihani na ujinga mwingine.

Mwalimu unatoka kazini saa nane mchana na weekend yote huendi kazini yani una zaidi ya masaa 44 free kwa wiki unayatumia kutengeneza majungu vijiweni badala ya kutengeneza pesa
 
Back
Top Bottom