Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

Wakati wake umefika tena
 
Ngoja tuone leo wataweka bango gani mkuu
 
Mohamed wewe ni mdini sana na unafiki umekujaa, Dhambi ya kubaguana Ni kama kula nyama ya mtu mkianza hamtaacha mwalimu alionya juu ya hilo leo gwaride limewageukia mnaanza kulia lia Mtafuna mlicho panda, Ww nakufananisha na Faiza Foxy kila jambo mnapambanua kwa mrengo wa dini tu
 
jikite kwenye mada mkuu , huo udini unaomshutumu nao Mohamed Said yaweza kuwa uko sahihi bali kwenye uzi huu si sawa
 
Vingine mnajitafutia pressure buuree yahani mgeni rasmi mwenyewe ni Mwarabu sasa wewe unaumia nini? Acha wafu wazike wafu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Eee bhana eeee !!
 
Na wewe mbona unapanda jahazi la udini,unachoshangaa nini?
 
Kwenye issue nyeti kama hii unaleta umbulula wako hapa !vipi machotara wa kiume waje kukuoa wewe au mama ako?
Maana tone ya maandishi yako inaonesha kuwa nawe una maoni kama ya hao wapumbavu wa ccm!Ni lini na wapi hao machotara wamekuletea nyodo?
Duuuh mama yake kaingiaje hapa mkuu?

MashineNene[emoji533][emoji1646]
 
Zanzibar ni ya Wazanzibari, .. Anasema Zanzibar ni ya WAAFRIKA haijui Zanzibar huyo

Anaesema Zanzibari ni nchi ya WARABU hali kadhalika nae haijui Zanzibar..

MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE. .
 
Kaka kisu umeamua kukiita kisu hukutaka kusema kile kifaa cha kukatia nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…