Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

Siasa za maneno ya kibaguzi na vijembe ni upumbavu tu!
Maneno ya busara au vitendo vya kimya kimya kutekeleza lengo lililokusudiwa ni muhimu kwa watu wenye akili nzuri.
Watu hawamiliki nchi yao kwa mabango, bali kwa vitendo!
 
I am shocked... mwili umetawaliwa na hofu. In those old days watu tuliamini ASP hardliners ndo tatizo la msingi... hawa wamebaki kwa kiasi gani? Au wamepandikiza mbegu za chuki kwa watoto na wajukuu zao?!

Naiona CUF ikizidi kupata nguvu maradufu ya ile ya October 2015. Lililo wazi kwa sasa kule Zanzibar ni kwamba, hivi sasa CUF wanapata uungwaji mkono mkubwa sana katika harakati zao za kutaka Zanzibar yenye mamlaka kamili! Tofauti na zamani, hivi sasa wanapata uungwaji mkono hata kutoka kwa CCM Insiders... tofauti yao ni kwamba, CUF wanapigana hadharani na hawa CCM Insiders wanapigana chini kwa chini!

Trust me, hapo wala hawawalengi wana CUF bali zaidi ni "Machotara" wa CCM yenyewe! Watu kama akina SAS hawajawahi kukubalika na ASP/CCM Hardliners hadi kesho! Hata kama wameingiza suala la Hizbu hapo lakini hadi akina Karume hapo wanahusishwa! Yaani ASP/CCM Hardliners hata Mohammed Babu nae walikuwa wanamuita Mwarabu! Nilipokuja kuisoma historia ya Mohammed Babu, nikachoka kuona nae anakuwa referred kama Mwarabu wa Hizbu!
 
Sheikh Mohamed hii sasa ndio karata yao ya mwisho baada ya umma wa Kizanzibari kuamua kuikacha ccm kila siku zikienda. Lakini strategy hii ndio kama wanajichimbia kaburi lao...kufutika kabisa kabisa katika historia. Cha pili kilichobaki ni ulinzi haramu wanao pewa na Muungano.
Leo machotara wa Ccm kina Amani, Ali Karume, Salim Ahmed Mohamed Aboud, Raza na nduguye wotewabunge wa ccm na wengine wengi ukweli hawana nafasi katika ccm znz waache kujipendekeza. Ccm znz haiwezi kujilinganisha na Hizbu.
Hizbu wapo walikua safi hawana damu ya muislam wa kizanzibari...waliipigania znz wakaipa uhuru wake wakawa memba wa United nation na Commonwealth...
Ccm/Asp mikono yao haisafishiki kwa damu za wazanzibari....wamenajisi waislam wamenyanganya wanalo dhima kubwa ya kesho kwa Allah....
Bora kuitwa hizbu kuliko ccm
Ccm wameiuza znz kwa Tanganyika na sasa wanaimbishwa nyimbo hizi.....msiba mkuuu kwa hawa wafrika wa ccm znz....
Basi badilisheni na majina mujiite gololi, ruharo,mwakijamba..hayo ndo majina yanayo wafaa lakini ukitwa seif, abdalla au ali hayo majina nayo si ya kiafrika ni kihizbu hizbu...
 
Znz mpasuko unazidishwa na mabango kama haya,
Shein anachelea ila mwisho wake mbaya
 
Naona hiyo petrol itakuripukia mwenyewe. Ikiwa unasema raisi wa JMT hana uwezo na jukumu la kutatua mgogoro wa sehemu ya nchi yake lakini anaweza kutatua mgogoro wa Burundi. Siwezi kukusoma
 
Acha watoboane macho ndo wataheshimiana maanake mtu wa bara ukiwa huko unabaguliwa kama nini.
 
Mkuu Mkeimani kwamba Zanzibar au Tanzania ni nchi ya kiafrika au ya Waafrika ni jambo lililo wazi kabisa. Sijawahi kusikia mtu akidai kutoelewa hivyo. Sasa huo ujumbe kwenye bango ni kwa ajili ya nani hasa? Unajua, ikifikia hatua unamtaarifu mwanao wa kumzaa kuwa "wewe ni mtoto wangu" ni dalili ya mushkeli katika kujitambua kwako. Kuna kitu kimeharibika na kinaendelea kuharibika kwenye siasa za Zanzibar huku Tanganyika tukihusishwa kupitia CCM.
 

Hili bango naona Seif Sharrif HAMAD aliliona lilipokuwa linaandikwa akaamua kusepa kufika sherehe za mapinduzi kwa visingizio hewa.Seif atakuwa hakulala anaweweseka ANAOTA HILO BANGO.Chezea CCM Zanzibar.Ukimwaga Ugali wanamwaga mboga.
 
Kama machotara wanatengwa basi ni wakati mzuri wa kuwaoa na kuwaleta bara. Hawatakuwa na nyodo tena, twendeni tukaoe hao machotara.

Nadhani hapo ndio upeo wako wa kufikiri ulipoishia. Kazi kwelikweli.
 
Ungazija wa babu ndio ulioponza mbele ya wabaguzi ccm.
 
Kwani cha ajabu nini hapo? Zanzibar wenyewe ni weusi sasa awa waarabu koko kwa nini wanataka wawapore wenyeji nchi yao! Mimi nawasapoti wenyeji kukaza uzi msiiache hiyo ni nchi yenu hao waarabu koko kama wamechoka fadhili mnazowapa waanze kuondoka mmoja mmoja. Jamani tuacheni siasa za mihemko tangu lini nchi ya kiafrica ikatawaliwa na waarabu? Maana naona wengine mahaba yao ya harakati wameyaamishia zanzibar.
 
Well said Moh, binafsi huwa nashindwa kuelewa kwa nini Wazee wa huko hawapendi kuzika mambo ya zamani na kufungua ukurasa mpya, zama hizi nani anataka kusikia mambo ya Hizbu,Umma party,Kama HURU,sijui huyu mtu ni chotara nk dhana za namna hii zitaifikisha wapi Zanzibar? Wakishikwa pabaya wanakimbilia kukumbushia mambo ya kizamani - wanayakuza kweli kweli!!

Sultani wa Zanzibar aliondolewa madarakani/pinduliwa kutokana na kuendekeza kwake ubaguzi wa rangi na ukihukwaji mkubwa wa haki za binadamu - je mabango yaliyo bebwa na vijana hao zinaweza kutofautisha vipi na utawala wa Sultani aliye ondolewa madarakani.
 
"Watu wanapofilisika hoja.....hukimbilia ukaburu, ukabila......" Hyt Nyerere. CCM wanazidi kuanikwa kila siku.......Mungu yupo.
 
siamini kama nawe upo serious kumnukuu mwalimu nyerere huyu kafiri kabisa.... yaani unamnukuu mwalimu nyerere huyu ambaye kila siku unamrushia madongo? alipokuwa anazungumza haya mlimcheka na kumdharau lakini sasa yameanza kutokea mnakumbuka maneno yake. anyway... zanzibar ni sehemu yetu sisi wa Tanganyika ndio ambao tunaiongoza zanzibar na ndio tunaowachagulia nani awaongoze. zanzibar ni ka nchi ketu kadogo ambako tunakatawala indirect.
lakini najiuliza hii zanzibar si inaongozwa na waislamu hii? wote wale si ni waislamu? hapa napata shida maana miaka hii nyerere hayupo na yale makandao kandano mengine ya kuwa mfumo kristo huko hayako. huko kuna mfumo mohammad lakini bado hakujasettle. mi nadhani ile nadharia ya dini ya haki ndo ifanye kazi maana huyu dr shein atakuwa ni dini nyingine. akienda kuswali anaswali vipi? na hao wenzie wanaswali vipi?
zanzibar mlishaambiwa haibadilishwi kwa karatasi. na hilo msahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…