Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

Yaani Wazanzibari wana sifa moja kuubwa
'unafiki'....huwezi kumuamini mzanzibari akiongea hiki anamaanisha au la....

Nimeambiwa watu wa visiwani....kote iwe Zanzibar au Ukerewe hii ni sifa yao kuu...
leo ataongea hiki..kesho ataongea kile....hujui msimamo wake hasa ni upi....
 
E-mwezi Mungu tuepushe na laana hii!
Kweli kabisa wapuuzi kama hao wanapita mbele ya Raisi na wanaachwa hivi hivi!
Ni mpuuzi tu anayeweza kushabikia kitendo hicho maana huo ni mwanzo tu wa dalili ya kuchinja na mara nyingi dalili ya mvua ni mawingu!

CC. Dr. FaizaFoxy na Lumumba wote.
 
Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.

hongera Kaka kwa kusimama kama kaka, na kujua uongee nini na wakati gani.

MUCH RESPECT BRO.
 
Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.

Angalia tu wasije wakakufukuza uanachama maana unawasaliti.Naomba nimquote JKN alisema...'Mbaguzi ni kama mtu aliyezoea kula nyama ya mtu haachi,na akaendelea wale watakao wabagua wenzao dhambi haitaisha......."Naona CCM mlianza na UDINI,Mkaja UKANDA ,Kaenda ITIKADI naona sasa mmerudi kwenye rangi.

Najiangalia CHOTARA mimi nipo salama?Maana nimkaskazini na ni CHOTARA najiuliza tena nipo salama?

CCM mnatupeleka wapi???Makamu wa RAIS anathubutu kupokea maandamano hayo bila kukemea.............Hakika Dhambi ya huu ubaguzi CCM itawala ni wakati tu huleta majibu.
 
Wao Watanganyika sisi Wazanzibar,
Wao Wazanzibara sisi Wazanzibar,
Wao Wapemba sisi Waunguja.
Dhambi ya ubaguzi itaendelea kuwatafuna.

Kila la heri Wazanzibari
Wao MACHOTARA sisi WAAFRIKA..............CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nashukru nilikaa huko,ukweli unauma lakini wanayoyafanya vijana wa Zanzibar hasa CCM ni hali yao ya ukosefu wa elimu. Lakini kinachoniachaga hoi bila jibu ni kuwa; asilimia zaidi ya 90% Wazanzibar ni waislamu,wanasali pamoja na mafundisho yao kiimani ni mamoja. Unashangaa hili bango!!? Zanzibar ukiwa na kichwa cha chogo hata kama ni mmakonde utaitwa Mpemba na unaweza kupatwa hata na mkong'oto kutoka kwa vijana wa CCM wakifikiri ni mpemba.
FB_IMG_1452588584386.jpg
 
Mohammed Said usiwe mnafiki.
Wewe ni mmoja wa watu humu mtandaoni mlioendeleza ubaguzi, kwako ulikuwa wa kidini.

Mwalimu aliwaonya, na sasa utabiri wake unatimia.
Mwalimu alisema,
"Zanzibar ikianza kujibagua toka Bara hawatabaki salama maana slama ya Zanzibar ni umoja na Bara.
Wakiisha kuwabagua Bara watakuwa wamefanya dhambi kama wachawi wanaokuka nyama ya watu.
Ulila nyama ya mtu utaendelea kula nyama ya mtu.
Mwalimu aliendelea kuwa, baadaye Wazanzibari wataendeleza dhambi ile ile ya ubaguxi na kugundua kua Zanzibar kuna Wazanzibari na Wazanzibara, na kuna Wapemba na Waunguja, hawatabaki salama hata kidogo"

Leo Mohammed Said, ukiwa mtu mzima mwenye akili yako washangaa nini, umeuendekeza sana ubaguzi wa kidini na makala zako za kuwa sifia na kuwaenzi "wazazi wako waislamu" humu mtandaoni, kwamba ndo walileta uhuru.
Ulihusika moja kwa moja kupanda mbegu za chuki katika jamii.

Zanzibar walipoanza na sera za kujibagua, ili wapate kujitambulisha nani ni mzanzibari(kwa kuwabagua wabara) sikuwahi kuona makala zako za kuonya juu ya ubaguzi huu.
Wengi tulilaumu hili, lakini kwa vile wazanzibari kupitia Baraza La Wawilishi, ndo liliendeleza ubaguzi huu hadi kufikia hatua ya kumpiga mrufuku ya kukanyaga Zanzibara Waziri Mkuu Pinda, wengi walishangaa ubaguzi na umoja wa kibaguzi wa wazanzibari.
Lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuonya juu ya hili.

Leo mbele ya kadamnasi u Hizbu na u ASP unaonyeshwa hadharani- tofauti zilizokuwepo hata kabla ya uhuru.
Halafu mtu mwenye akili unailaumu CCM.

HUU NI UNAFIKI MKUBWA.
Mnavuna mlichopanda, na Mwalimu was right, salama ya Zanzibar ni Tanganyika.

Masopakyindi,

Unachanganya mambo.

Mimi nilipoandika mchango wa Waislam katika historia ya uhuru wa Tanganyika
sikufanya utafiti ule kwa kuwa nataka kumbagua mtu yoyote.

Napenda kukufahamisha kuwa kitabu changu kilifanyiwa mapitio na wasomi makini
katika historia ya Afrika kutoka Northwestern University, Cambridge na kwengineo.

Hakuna hata mmoja aliyenilaumu kwa udini.

Isizidi nimepewa kazi nyingi kufanya mojawapo ni kushirikishwa na mradi wa Harvard
na Oxford University Press kuandika Dictionary of African Biography (DAB).
 
Mohammed Said usiwe mnafiki.
Wewe ni mmoja wa watu humu mtandaoni mlioendeleza ubaguzi, kwako ulikuwa wa kidini.

Mwalimu aliwaonya, na sasa utabiri wake unatimia.
Mwalimu alisema,
"Zanzibar ikianza kujibagua toka Bara hawatabaki salama maana slama ya Zanzibar ni umoja na Bara.
Wakiisha kuwabagua Bara watakuwa wamefanya dhambi kama wachawi wanaokuka nyama ya watu.
Ulila nyama ya mtu utaendelea kula nyama ya mtu.
Mwalimu aliendelea kuwa, baadaye Wazanzibari wataendeleza dhambi ile ile ya ubaguxi na kugundua kua Zanzibar kuna Wazanzibari na Wazanzibara, na kuna Wapemba na Waunguja, hawatabaki salama hata kidogo"

Leo Mohammed Said, ukiwa mtu mzima mwenye akili yako washangaa nini, umeuendekeza sana ubaguzi wa kidini na makala zako za kuwa sifia na kuwaenzi "wazazi wako waislamu" humu mtandaoni, kwamba ndo walileta uhuru.
Ulihusika moja kwa moja kupanda mbegu za chuki katika jamii.

Zanzibar walipoanza na sera za kujibagua, ili wapate kujitambulisha nani ni mzanzibari(kwa kuwabagua wabara) sikuwahi kuona makala zako za kuonya juu ya ubaguzi huu.
Wengi tulilaumu hili, lakini kwa vile wazanzibari kupitia Baraza La Wawilishi, ndo liliendeleza ubaguzi huu hadi kufikia hatua ya kumpiga mrufuku ya kukanyaga Zanzibara Waziri Mkuu Pinda, wengi walishangaa ubaguzi na umoja wa kibaguzi wa wazanzibari.
Lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuonya juu ya hili.

Leo mbele ya kadamnasi u Hizbu na u ASP unaonyeshwa hadharani- tofauti zilizokuwepo hata kabla ya uhuru.
Halafu mtu mwenye akili unailaumu CCM.

HUU NI UNAFIKI MKUBWA.
Mnavuna mlichopanda, na Mwalimu was right, salama ya Zanzibar ni Tanganyika.
"Zanzibar ikianza kujibagua toka bara hawatabaki salama,maana salama ya Zanzibar ni umoja na Bara" Mkuu umeweka vitu ambavyo wachangiaji wengi wameshindwa kuviona au wanaviona lakini wanavifumbia macho na kuishia kuilaumu CCM.Ni mfano wa mtu anayelia na alipoangukia bila ya kujiuliza alijikwaa wapi.
 
Kweli huyu Mohammed Said ni mnafiki sana.
Leo anapata wapi moyo wa kum quote Mwalimu Nyerere wa " mfumo Kristo" kama alivyo andika mara kadhaa kwenye nakala zake?

Unafiki wa kibaguzi unawamaliza wazanzibari.
Jidu La Mabambasi,
Mfumokristo ni aina moja ya ubaguzi.
 
Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.

Machotara weupe na machotara wa kikabila kazi ipo ya ubaguzi.
 
Nimecheka sana kuona anayelalamika ni mohamed said. huyu ambaye amakeuwa na ubaguzi kwa wakristo , ubaguzi kwa tanganyika na hata kuwabagua watu wengine kwa misingi ya imani yao.
zanzibar UBAGUZI UPO SANA hasa kwa WABARA NA WAZANZIBAR. ukifanyika hivyo mohamed said haoni kama ni unabaguz. ukifanyika ubaguzi wa dini haoni kama ni ubaguzi. ubaguzi ni mbegu ukiipanda itaota na itakua. asilimia 99 ya wazanzibar ni waislamu....wakiwabagua wakristo mi naelewa na wala siwezi walaumu ila wasidhan watabaki salama .....na sasa ndo tunaona kuwa kumbe ubaguzi huwa unakua,unasambaa UBAGUZI NI KANSA. USIPOKATA SEHEMU ILIYOATHIRIKA INASAMBAA MWILI MZIMA.... kumbe nako zanzibar pamoja ya kuwa wote ni wazanzibar ila kuna wahizbullah na weusi tii. kuna machotara na waafrika halisi. na bado ubaguzi huu utashuka tu. na muishukuru sana TANGANYIKA MAANA NDO INAWASAIDIA OTHERWISE HALI INGEKUWA MBAYA ZAIDI.
 
Very good. Ujumbe huo wa Kikaburu umfikie MOHAMMED ABOUD MOHAMMED ambaye yumo ndani ya ccm na kutumiliwa vbaya na ccm kwa kuwakilisha machotara wenzake wote waliomo kwenye ccm. Hongereni vijana wa ccm kwa ujumbe mzuri sasa wale machotara wote waliomo ndani ya ccm waanze kujitambua kuwa ukiwa ndani ya ccm kama ni chotara ni chotara tu hata ujipendekeze vp ww ni chotara tu kwaiyo hutokuwa na maana yoyote.
Si pekeyake huyo na balozi Ali karume nae chotara na. Mahamud thabit kombo na wengi machotara hahaha kweli ccm waogopwe kama ukoma
 
member: 12431"]
DSC_2469.jpg

Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Picha hiyo hapo juu ni bango la Kikaburu katika mwaka wa 2016 bango linalotukuza ubaguzi wa rangi.

DSC_2827.jpg

Sitaki kuamini kama Ali Mohamed Sheni na uongozi wa juu wa CCM Zanzibar wamewatuma vijana hawa kufanya haya.

Akili yangu inanikatalia kabisa.

Sitaki kuamini kuwa tumeanza kuwatengeza akina Hendrik Verwoerd na Eugene Terre Blanche weusi katika visiwa vya Zanzibar.

CCM Zanzibar inamuiga nani katika hili?

Hitler na Manazi walikuwa na vijana wao waliojulikana kama Stormtroopers ukipenda waite Brown Shirts?

Zanzibar tumeshawashuhudia Ton Ton Macout mfano wa wale wa Papa Doc wa Haiti visiwani wanajulikana kama Mazombie.

Sasa tumefungua ukurasa mwingine wa Adolf Eichman.

Hilo bango mbona litawagusa wengi katika safu ya uongozi wa siasa katika Zanzibar na wengine walipatapo hata kuiongoza nchi?

Machotara?

Nani huyu chotara?

Tumehama kwa Waarabu sasa tuko kwa Machotara!

Lakini huyo chotara si ana wajomba, babu, bibi na mama wakubwa na wadogo Waafrika?

CCM imefilisika kiasi hiki?

Nini hiki ni kiwewe cha CCM kushindwa uchaguzi au ni kitu gani?

Nini khasa tafsiri ya mambo haya?

Tusubiri In Sha Allah wakati utatupa jibu.

Kasema Mwalimu Nyerere karne ya ishirini na moja kuna watu wanapanda basi la ukabila...

Hawa wanapanda jahazi la ugozi.[/QUOTE]

Hawa wanapanda jahazi la ugozi.

Hivi ni kweli haya yanatokea karne hii ya 21.
Basi tuna safari ndefu kweli ya kufika walikofika wenzetu, na Mungu wetu atusaidie.
Hawa ndio viongozi tulionao leo pamoja na ustaarabu wote wa dunia tuliyo nayo, Marekani wanakuwa na Raisi mwafrika, tunao hapa kwetu wabunge Machotara, Karume mdogo ni chotara - labda kwa vile hakuwa CUF, akina Raza n.k. wanasimama wapi?
Ni aibu kwa Magufuli hata kushiriki na watu kama hawa wanaoishi dunia ya enzi za mawe.
Shama, shame shame na inachefua kweli kweli.
 
Back
Top Bottom