Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

Pole sn, hio ofisi upo mbara pekee yako?
Maana kwa mchanganyiko wa sasa kwa huku zanzibar na watu wa bara wanapata wapi nafasi ya kukubagua. Umekutana na watu wenye roho mbaya..usilipize kwa wengine maana sio wote wapo hivyo
 
Uongo mtupu.

Wangekua wabaguzi kina Jumbe na Mwinyi wasingekua Marais huko.
 
Hawa watu wasiokua na vichogo wana majungu sana halafu wavivu na wachafu. Mwezi ulioisha amekuja mzanzibar anataka kupanga nyumba yangu nikamwambia bora nyumba waishi panya lakini sio mzanzibari. Wameondoka na mashungi yao kama wamepandisha mashetani.
 
Tatizo lako unafikiri ubaguzi wa wazenji unatokana na dini huo siyo ukweli wazenji wanakubagua hata uwe na dini kama yao ilimradi tu uwe ni mtu wa bara ujue utabaguliwa ni tatizo la malezi ya hovyo yaliyo watengeza wawe na chuki kwa watu wa bara regardless dini yako.

Nilivyokua mdogo nilitamani sana siku moja nikutane na watu wa zanzibar maana sikuwahi kubahatika kukutana na mzenji hata mmoja , hao jamaa nilikutana nao jkt nilitamani niwe na urafiki nao maana sikuzijua tabia zao za kishenzi ila baada ya wiki niligundua ni watu wabinafsi huwa wanakua wema akiwa peke yake anapokosa mzanzibar mwenzake ila wakikutana kwanzia watatu wanaanza ujinga wao.

Alafu wakiwa bara huwa wanapenda kulalamika muda wote wanahisi kuonewa ni makalamiko tu hata makazini.
 
Huo sasa ubaguzi, una agenda zako na wewe...uliposema hapo bora ukodishe panya kwa kuwa hio nyumba ina nini kikubwa?
Hao watanganyika wanaokuja zanzibar, wazanzibari nao wangesema hawawakodishi bora wakodishe panya si wangelala barabarani. Maana watanganyika wengine wanakuja zanzibar hawana hata issue, wanafuata mkumbo tu wa kuja kutafuta maisha Na huwa hawajui hata wataanzia wapi. Ndio wengine wakikuta nyumba hazijamaliza kujengwa wanavamia tu na kukaa hata kama hamna choo.
Kipindi naishi home mbweni, jirani kulikuwa kuna nyumba ndio kwanza imepauliwa tu...wakaja kuhamia wanyamwezi, walikuwa wanajisaidia kwenye mifuko na kutupa ovyo. Nyumba haina hata choo wala maji jiulize walikuwa wanakaa vp. Upande tuliokuwa tumepakana ukuta na hio nyumba kulikuwa kunanuka harufu ya uvundo. Sema tu walitukuta majirani hatuna midomo ya kugombana. Hapo bado usalama, ukisahau kitu nje asubuhi hukikuti washabeba
 
Na sasa hivi tuna andaa proposal kwamba kuingia Zanzibar mpaka uwe na passport ila kwenda bara ni utawala wa manyani maana machogo mmezidi kuwa wengi sana huku Zanzibar.
Uko timamu?
 
Ukiwa unaishi zanzibar na umetokea bara ndo utamuelewa mtoa mada
Sio kwa zanzibar ya sasa mkuu.
Mchanganyiko ni mkubwa, kuna mitaa wabara wapo wengi sawa na hao wazanzibari. Ubaya wa mtu hauangalii ubara wala uzanzibar. Maana kuna wazanzibari wengine wanabaguana hata wao kwa wao.
Na hio khulka hata bara pia ipo. Unataka kuniambia hakuna mbara hata mmoja ana ubaguzi wa kikabila!!!?
 
Kitakuwa ni kisiwa cha kwanza duniani kumiliki inland.
 
hivi ulishakaa zanzibar wewe unajua gubu la wapemba lakini..
ukiambiwa ubaguzi ni ubaguzi kweli hawatanii hao wanaweza kukutoa kafara kama yesu
Huyo kaingiaje kwenye mambo ya zanzibar????
 
Halafu ole wako wagundue hujatahiriwa ... Wao wako radhi uwafire kisawa sawa , ila sio Kwa hivi! 😁😁 Ni DHAMBI kubwa
Hakuna anayeweza kuzuia mawazo mbadala...hata Mungu hawezi! kwa kuwa tukishindwana na Mungu tunaenda kwa Shetani!👀
 
Wacha kulia lia piga kazi ,,, unapataje mda wa kusikiliza majungu ? Fanya mambo yako kwa wakati ,,, boss wako ndo mwenye uwezo wa kukuachisha kazi sio hao nguchiro
hata na mimi nashangaa kwa nini anasikiliza majungu wakati yeye amekwenda kufanya kazi.

Aendelee na shughuli zake asijipe mihemuko ya bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…