Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

Aisee...
 
Huu muungano inabidi upate majasiri wa kuongoza jahazi uvunjike
tumeshazoa ndugu wa damu mna hisi hii nchi ya tzn mna haki peke ynu lkn mtazoewea tu acheni kasumba za kifala huu muungano muolewa wa nchi mbili chuki na kasumba daima hazijwngi
 
Umeandika kitabu sina mda wa kusoma. Nimeshasema nyumba sipangishi mzanzibari. Nyumba bado mpya nipangishe mzanzibari waifuje ichakae watu wenyewe wachafu bora waishi panya na mende.
 
ubaguzi ni ktk udhaifu wa kudumu wa binadamu. utegemee popote pale. kikubwa mfanyie wema aliyekufanyia wema, mzingue anayekuzingua. nishaacha kuwatazama watu kwa tofauti za nasaba zao.
 
Na sasa hivi tuna andaa proposal kwamba kuingia Zanzibar mpaka uwe na passport ila kwenda bara ni utawala wa manyani maana machogo mmezidi kuwa wengi sana huku Zanzibar.
Kabla ya kuweka passport. Mtoeni kwanza rais anayetoka ccm.
 
Majungu kazini kawaida Kuambiwa Unapiga Kazi Kujipendekeza kwa Wakubwa Au Kupandishwa Cheo Kawaida Mkuu.Puuza Fanya Lililokupeleka Kama Unataka Walipizia Kisasi Wakija bara Hakikisha Upo Kwenye Kampuni yako waajiri Watese Au Uwe Na Pesa Vinginevo Utabaaki Kulaani Baadala Ya kufanya Kazi
 
Piga kazi na usiwaonyeshe kwamba unaumia,wakijua kwamba unaumia kwaajili yao aisee watakutemea na mate,be happy🙂be humble.wasalimie vizuri tu cheka nao hata wakisema unajipendekeza sawa tu, jipe Raha mwenyewe.watakuelewa tu na watajirudi kwako.
 
Umeandika kitabu sina mda wa kusoma. Nimeshasema nyumba sipangishi mzanzibari. Nyumba bado mpya nipangishe mzanzibari waifuje ichakae watu wenyewe wachafu bora waishi panya na mende.
Kwa hio panya na mends ndio wasafi!!!?
 
Kikwete Mzanzibari? Ubaguzi upo tu kila sehemu.

Mbona alimbagua Dr. Salim Ahmed Salim kwa kisingizio cha Uhizbu tena hiyo ni baada ya Dr. Salim kushika nyadhifa nyeti kadhaa kitaifa na Kimataifa?!!
Dr Salim alikataliwa na Wazanzibar wenzake tangu enzi za Nyerere.
 
Dogo fanya kazi acha ujinga.

Wanakunyanyasa?
Je wanakunyima.chakula? Wanakulaza Nje? Wanakubaka/kukulawiti?

Wafrika sisi ni wapumbavu.

Fanya kazi usiwe kama wale wajinga wanaoenda nje wanarudi mikono mitupu ukiwauliza wanasema walikuwa wanabaguliwa.

Huwa nawauliza tu ulinyimwa chakula? Ulilazwa nje? Ulifanyishwa kazi nje ya muda wa watu wengine? Ulinyimwa mshahara?

Sasa kama sio hayo unasemaje unabaguliwa?
Tatizo tunataka kwenda makazini kutafuta urafiki na kila mtu.

Chapa kazi kwa uaminifu sepa.

Unasingiziwa kuiba simu? Au unatabia hizo
 
Wacha kuwafuatilia,utaumia.
Hao wakiona huelewi wanakaa kikao,wanachanga pesa kisha safari ya kuelekea Pemba au Tanga inaanza.
Wakisharudi utajua tuu walienda kufanya nini maana huwa hawakai kimya na hapo sasa ndio utajutaa
 
Eti ni kweli mkuu Kalaga baho akijamba mwajuma mnasingiziwa nyie wa bara
Mm Sijakumbana nao huo hapo naskia sikia. Ila ofkooz Wana tendency ya kuhus ubara ni tatizo hasahasa katika mlengo wa maadili na tabia. Huku hata ujinga ni ulemavu.. unaweza kutengwa kimazungumzo kisa mitaa huijui au kinachozungumzwa hukijui..

Mm naona inategemea pia na tafsiri binafsi ya matukio unatofanyiwa na namna unavyoyabeba. Mm sioni tatizo hata wakiniuliza jina nawaambiaga Makame tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…