Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

Jina la kikafiri ni jina la namba gani unalalamika unabaguliwa wakati na wewe mwenyewe ni mjingamjinga uendelee tu kubaguliwa mpaka ubagulike
 
Chapa kazi kikubwa hawakulishi na Boss anakukubali piga kazi, wala usilipize kisasi, sio kizuri, kisasi ni cha BWANA,ushinde ubaya kwa wema
 
Hayo ni majungu sio manyanyaso Mkuu. Piga kazi kuwa ngangari na msimamo wako waujue. Watachague ama wakuheshimu au wakuogope.
 
Naona tatizo lipo Ila umeamua kulikuza na kulisambaza

MAISHA ili uyaelewe vizuri jifunze mbinu za kuishi na WATU negative maana hao ndo wengi.

Ila watu wakiwa negative na wewe ukawa negative maumivu yake ni makubwa Sana.

So usichukilie mambo personal MTU anayekuchukia au kukuongelea vibaya tatizo lipo kwake sio kwako. So usimchukie.

Wewe usigombane nao Ila kuwa mkimya Sana , focus na kazi yako waombee Amani na muombee boss wako Amani.

Giza haliwezi kuondolewa na Giza bali mwanga.
 
Mkuu chapa kazi Ili kuwakomesha Fanya maendeleo kuwazidi yani kama uko njema nunua hata gari Kali hakuna kutia huruma #nb usiache kula mdudu wetu jasiri haaxhi asiri
 
N
nakubaliana na unachosema......kuna baadhi ya maeneo wapo wa bara wengi iko poa.....ila hizo sehemu wapo wazawa daah
 
Na sasa hivi tuna andaa proposal kwamba kuingia Zanzibar mpaka uwe na passport ila kwenda bara ni utawala wa manyani maana machogo mmezidi kuwa wengi sana huku Zanzibar.
Hapana mkuu wao ndiyo wapo wengi Tanganyika, ukitaka kuamini hilo we nenda Bandari eneo la kusafiria abiria waendao Zanzibar na wanaotoka Zanzibar, Utaona wanaoingia Tanganyika ni wengi kuliko wa Tanganyika wanaokwenda Zanzibar, kingine kule Zanzibar hakuna fursa kama uku Tanganyika ndiyo maana ukienda Zanzibar ukuti vijana wenye pesa, Kwa mfano uwachukue vijana chini ya miaka 35 kutoka bara na Zanzibar utakuta vijana wa Zanzibar ni tengemezi, kumkuta kijana waki Zanzibar mwenye mwenye biashara kubwa ya mtaji ata wa kuanzia milioni 200 hakuna.
 
Reactions: 7ve
Uliona wapi mtu ambae hana kisogo akawa na akili timamu[emoji848][emoji848] hayo ni matahira tuu hayana lolote yadharau na kuyapuuza wewe piga kazi ukipata nafasi ya kuyafanyia roho mbaya yafanyie hadi shetani akuogope

Ndomana dada zenu wa bara wakishoboka tunawagonga kisawasawa [emoji28]

Am just kidding [emoji102]
 

Dada zetu wamekuwa mashetani [emoji23]
 
Ndomana dada zenu wa bara wakishoboka tunawagonga kisawasawa [emoji28]

Am just kidding [emoji102]
Yani washoboke na matahira wasio na visogo wanao gawa kisamvu mpira 🤔🤔 utachekesha maiti
 

Mkuu mbona nyinyi ndio mnaonekanwa munalalamika sana? humu JF kila siku nyuzi wabara wanalalamika kuhusu wazanzibari
 
Mkuu mbona unaonekanwa kama ni Snitch? sasa unawafanyia usnitch wanfanykazi wenzio ulitegemea wakupende?
 
Sasa hayo mambo mbona kila ofisi yapo. Hata ofisini kwangu hakuna mzenji hata mmoja ila majungu utazani jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…