Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

We mwenyewe ni mbaguzi, wacha waendelee kukubagua tu.
 
Wanawake wa kizanzibar wanashinda ndani kumsubiri mwanaume mmoja wa kizenji Polygamist alete chakula na mahitaji.
Mademu wa kutoka Tanzania Main Land wapo wanauza bar na reception fursa wanatamaa nazo mpaka wanaolewa na wazungu na kusepa ulaya.Mabaunsa na wafuga rasta wamesepa zenji kukaba fursa
 
Tanzania bara na visiwani itoshe kusema sisi ni ndugu
 
Kuwa mwangalifu na chakula manake wana roho za ibilisi.
Hata mimi nilishaonja machungu ya Hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…