othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Jiwe alisema hapeleki maendeleo kwa waliochagua upinzani, pia nao ni ubaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na huyu fala hana kitu anachojua. Tuzazungumzia airport anatuletea habari za ikuluHuelewi mzigo hapo waweza ingizwa au shushwa terminal yeyote movement ku u move ndani kwa ndani ukafanywa na wale wafanyakazi wa ndani ya uwanja madereva wa mabasi,mafuta, vile vigari vya kubeba masanduku kupeleka au kutoa kwenye ndege nk au akabeba mfanyakazi tu ndani ya uwanja kuupeleka terminal nyingine yeye au kukabidhi mwenzie wa terminal nyingine
Hujui kitu
Tumekusoma kuwa ukienda Ikulu bila shaka hata mapokezi hukufuka.Sukuma gang ni lazina mkubali yule kichaa wenu yupo kuzimu hawezi kurudi na kamwe hamuwezi kumchafuwa mama.
Safari za Dodoma airport inayotumika ni terminal two na siyo terminal three, terminal three ndio international route.
Mimi last wiki nimeingia ikulu ya Dar nikawa nahitaji bahasha kubwa ya A4! Nikatoka kwenda nje mpaka wizara ya ardhi nikanunuwa bahasha na nikarudi ikulu sikukaguliwa.
Usidhani mifumo ya ulinzi ipo unavyodhani wewe na akili zenu mbovu za kishamba za kisukuma.
Andika kwenye diary yako kwa kumbukumbu hii nchi kamwe haitokabidhiwa tena kwa washamba, kuna jamii bado haijastaarabika iendelee kuswaga ng'ombe na siyo binadamu.
Wewe mavi kabisa, terminal nzote tatu ni JNIA, terminal one ni kwa ajili ya charter plane, terminal two ni domestic passenger flight na terminal three ni international flight.Tumekusoma kuwa ukienda Ikulu bila shaka hata mapokezi hukufuka.
Mleta uzi amesema alikuwa JNIA sijaona sehemu aliyo taja kuwa alikuwa terminal 3.
Kwa ushamba wako unadhani Terminal 3 ndio inaitwa JNIA
Hebu ondoa uharo wako hapa. Binafsi sijaona sehemu aliyoandika terminal 3.Wewe mavi kabisa, terminal nzote tatu ni JNIA, terminal one ni kwa ajili ya charter plane, terminal two ni domestic passenger flight na terminal three ni international flight.
Yeye alikuwa anakwenda Dodoma hawezi kuwa terminal three. Fala wewe hujui kitu.
Leo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alisha ingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia, alichofanya yule Muhindi ni kupita watu kwenye foleni hadi ndani bila mlinzi kumuuliza chochote wala kumkagua na hakuwa na tiketi, kilichoniuma zaidi mwenzie aliyekuwa naye huku nje alipoona jamaa anachelewa nae akaingia kumfuata na mlinzi akmuachia nae aingie. Sasa nikajiuliza hivi magaidi au wanaoweza leta madhara pale Airport ni weusi tu?., sikuvumilia nilimuuliza yule mlinzi, mbona hawa wahindi unawaachia waingie na kutoka bila kukaguliwa? akajibu hiyo ni kazi yake. Ikiwa na maana anaamua yeye aingie nani asiingie nani. Wenye Mamlaka fuatilieni kwenye CCTV mtaona.
Huo siyo ubaguzi, ni uzembe na kuhatarisha usalama wa taifa.Ubaguzi tanzania upo.
Tena unaanza kwa rangi nyeusi kubaguana.
Una akili mno wewe mwanamke, kwa sababu hii mna haki ya kuwaburuza wanaume wapuuzi kama hawa, very hopeless! Na msiwaonee huruma.Unataka kusema hao watu walihonga au, maana yako ni ipi hasa??? Sijaona uhusiano wa pesa na alichozungimzia mtoa uzi hapo juu....
Suala si pesa, sasa kila mtu ataweza kununua ndege yake? Ukute ni mweusi halafu unashadadia upuuzi, si kila kitu ni cha kubisha bisha.atafute pesa aepukane na hizo kero.
Kwa ufupi atafute pesa anunue ndege yake aepuke hizo kero za kukaa foleni.
Halafu kuna mijitu inatetea upuuzi huu bila hata aibu.Mabwege wa airport wamepewa hizo kazi kwa vimemo vya ndugu zao ambao wako CCM usishangae kwanini hawana akili
Nashangaa mwanamke unakuwa na akili kushinda baadhi ya mijanaume mipumbavu, issue ni kutatua kero jitu linasema tu 'tafuta pesa', mother fu**k! Hongera dada kwa upeo mkubwa.Mleta mada Kuna kitu hukiekewi hapo
Kutakuwa na mzigo au ulikuwa unaingia au unatoka wa madawa ya kulevya au madini yalikuwa yakiondoka
Upigaji umesharudi
Hizo CCTV camera waweza kuwa walilizizima hiyo deal ilipofanyika au walizielekeza angle ingine
Mtandao wote hapo airport waweza kuwa walikuwa wakijua hilo deal na kulifanyika timing Nani aingie Kwanza afuatiwe na nani Wanapeana ishara ingia
Mfano wa Kwanza aweza kuwa mbeba mzigo,wa pili bosi wake wa tatu tajiri mwenyewe wa kuhakiki Kila kitu sawa.
Mzee mbona povu? Unampinga mtoa mada kuwa upigaji haujarudi?Sukuma gang ni lazina mkubali yule kichaa wenu yupo kuzimu hawezi kurudi na kamwe hamuwezi kumchafuwa mama.
Safari za Dodoma airport inayotumika ni terminal two na siyo terminal three, terminal three ndio international route.
Mimi last wiki nimeingia ikulu ya Dar nikawa nahitaji bahasha kubwa ya A4! Nikatoka kwenda nje mpaka wizara ya ardhi nikanunuwa bahasha na nikarudi ikulu sikukaguliwa.
Usidhani mifumo ya ulinzi ipo unavyodhani wewe na akili zenu mbovu za kishamba za kisukuma.
Andika kwenye diary yako kwa kumbukumbu hii nchi kamwe haitokabidhiwa tena kwa washamba, kuna jamii bado haijastaarabika iendelee kuswaga ng'ombe na siyo binadamu.
Anaonekana tu mshamba, yaani JPM kafa ila bado anawaminya kende, kweli jamaa alikua mwamba kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona povu alilotoa hapo juu!Achana na huyu fala hana kitu anachojua. Tuzazungumzia airport anatuletea habari za ikulu
Sio sababu kaka, tafadhali usitetee ukuda.Mkuu punguza jazba usikute wenzio kila siku wanasafiri hapo yani wamepazoea kama wewe ulivyozoeleka pale mbezi ukifika tu wanakwambia kiongozi basi lako la kimbinyiko bado lina nafasi.
Kwani ni wapi mtoa post kataja aina ya terminal? Wewe vipi?Wewe mavi kabisa, terminal nzote tatu ni JNIA, terminal one ni kwa ajili ya charter plane, terminal two ni domestic passenger flight na terminal three ni international flight.
Yeye alikuwa anakwenda Dodoma hawezi kuwa terminal three. Fala wewe hujui kitu.