SitakiUpendoWako
Member
- Oct 2, 2021
- 45
- 17
Jamaa sijui ni vyeti feki hili, halieleweki kabisa. Nina mashaka hata elimu yake ya magumashi.Hebu ondoa uharo wako hapa. Binafsi sijaona sehemu aliyoandika terminal 3.
Onyesha kama Ipo.
Sijakuuliza Terminal Ipi inafanya nini?
Hivi mara yako ya mwisho kupanda ndege ni lini?
Ndio WaTZ wengi walivyo, ukiongea ujue sababu utaambiwa umasikini. Jamani jifunzeni kutobisha kila kitu.Umaskini na wivu unakusumbua... kilichokuuma hapo ni nini?
Lugha mzee unadhani angeanzia wapi kumuulizaLeo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alisha ingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia, alichofanya yule Muhindi ni kupita watu kwenye foleni hadi ndani bila mlinzi kumuuliza chochote wala kumkagua na hakuwa na tiketi, kilichoniuma zaidi mwenzie aliyekuwa naye huku nje alipoona jamaa anachelewa nae akaingia kumfuata na mlinzi akmuachia nae aingie. Sasa nikajiuliza hivi magaidi au wanaoweza leta madhara pale Airport ni weusi tu?., sikuvumilia nilimuuliza yule mlinzi, mbona hawa wahindi unawaachia waingie na kutoka bila kukaguliwa? akajibu hiyo ni kazi yake. Ikiwa na maana anaamua yeye aingie nani asiingie nani. Wenye Mamlaka fuatilieni kwenye CCTV mtaona.
A-enjoy life kwamba yeye ni kubaguliwa kwenye nchi yake mwenyewe. Tukienda kwao wanatubagua. Humu mwetu tubaguane wenyewe.Ngoja mamlaka husika watakuja kukujibuuu
aina za ubaguzi
1. kuwapita watu kwenye foleni bila kuomba ridhaa yaooo
2. Wengine kukaguliwa tiketi/vitambulisho na wengine hapanaa
enjoy your life, usilalamike mnooo
This is a very serious matter kwa security ya uwanja.. upuuzi tu.. kupuuzia taratibu na kanuni za eneo nyeti kama hilo zitatufikisha pabaya siku moja. Uongozi husika changamkeni..Leo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alisha ingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia, alichofanya yule Muhindi ni kupita watu kwenye foleni hadi ndani bila mlinzi kumuuliza chochote wala kumkagua na hakuwa na tiketi, kilichoniuma zaidi mwenzie aliyekuwa naye huku nje alipoona jamaa anachelewa nae akaingia kumfuata na mlinzi akmuachia nae aingie. Sasa nikajiuliza hivi magaidi au wanaoweza leta madhara pale Airport ni weusi tu?., sikuvumilia nilimuuliza yule mlinzi, mbona hawa wahindi unawaachia waingie na kutoka bila kukaguliwa? akajibu hiyo ni kazi yake. Ikiwa na maana anaamua yeye aingie nani asiingie nani. Wenye Mamlaka fuatilieni kwenye CCTV mtaona.
Besti agizia ama nubua chochote hapo Tesco, Asda ama lidl unitumie bill ntalipiaMbantu akienda jehanam atakua anaonewa maana maisha ya jehanam ameyaanza hapa duniani. Unabaguliwa nchini mwako, barani mwako, ukienda Ulaya na Asia unabaguliwa.
Mbona sasa wamatumbi wenzao wanawasikaga kwa wingi wakifanya madili kama hayo ya madawa? Nigger ni mpumbavu tu.Mleta mada Kuna kitu hukiekewi hapo
Kutakuwa na mzigo au ulikuwa unaingia au unatoka wa madawa ya kulevya au madini yalikuwa yakiondoka
Upigaji umesharudi
Hizo CCTV camera waweza kuwa walilizizima hiyo deal ilipofanyika au walizielekeza angle ingine
Mtandao wote hapo airport waweza kuwa walikuwa wakijua hilo deal na kulifanyika timing Nani aingie Kwanza afuatiwe na nani Wanapeana ishara ingia
Mfano wa Kwanza aweza kuwa mbeba mzigo,wa pili bosi wake wa tatu tajiri mwenyewe wa kuhakiki Kila kitu sawa.
Hujui unachokiuliza wala hujui matumizi ya airport, ukisema unakwenda wapi waelewa tunajuwa uko terminal ipi. Fanculo.Kwani ni wapi mtoa post kataja aina ya terminal? Wewe vipi?
Dah kweli haya majamaa yaache yaswage mang'ombe tuSafari za Dodoma airport inayotumika ni terminal two na siyo terminal three, terminal three ndio international route.
Mimi last wiki nimeingia ikulu ya Dar nikawa nahitaji bahasha kubwa ya A4! Nikatoka kwenda nje mpaka wizara ya ardhi nikanunuwa bahasha na nikarudi ikulu sikukaguliwa.
Usidhani mifumo ya ulinzi ipo unavyodhani wewe na akili zenu mbovu za kishamba za kisukuma.
Andika kwenye diary yako kwa kumbukumbu hii nchi kamwe haitokabidhiwa tena kwa washamba, kuna jamii bado haijastaarabika iendelee kuswaga ng'ombe na siyo binadamu.
Hili ndilo jibu, ukiwa na pesa hata hupangi foleni bankBraza Tafuta pesa hizi ndio nchi za Africa
Ndio ila ni kama ulikuwa unabisha kwenye 'hamna' hivi. Unamkosa mtoa post kwa kumuita mshamba na wakati hakutaja terminal, una shida ndani ya kichwa chako. You need serious treatment!Hujui unachokiuliza wala hujui matumizi ya airport, ukisema unakwenda wapi waelewa tunajuwa uko terminal ipi. Fanculo.
Sasa ni utalii wa ndala au?Ofisi ya umma mtu mweusi hasa mbongo ukivaa ndala na kipensi hutaruhusiwa kuingia ndani,ila mzungu akivaa kipensi na ndala watamruhusu wanasema utalii[emoji16][emoji38]
Tafuta mkwanja ndugu yangu, isije hadi Manunu (Mbwa wa Wema) akaheshemiwa kuliko weweπLeo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alishaingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia, alichofanya yule Muhindi ni kupita watu kwenye foleni hadi ndani bila mlinzi kumuuliza chochote wala kumkagua na hakuwa na tiketi.
Kilichoniuma zaidi mwenzie aliyekuwa naye huku nje alipoona jamaa anachelewa nae akaingia kumfuata na mlinzi akamuachia naye aingie.
Sasa nikajiuliza hivi magaidi au wanaoweza leta madhara pale Airport ni weusi tu? Sikuvumilia nilimuuliza yule mlinzi, mbona hawa wahindi unawaachia waingie na kutoka bila kukaguliwa?
Akajibu hiyo ni kazi yake. Ikiwa na maana anaamua yeye aingie nani asiingie nani. Wenye Mamlaka fuatilieni kwenye CCTV mtaona.