Donnie Music 61
Member
- May 22, 2020
- 51
- 52
Duh asee..
Maswali ni mengi kuliko majibu 🙁
Maswali ni mengi kuliko majibu 🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuko pamoja ktk hiliHivi Ndo kati ya Vitu nnavyotofautiana na Mh. Magufuri.....
Ile kauli haifai kabisa kutolewa na mkuu wa nchi!
Raisi ametugawanya sana wa Tz na sasa tuseme basi!
Ile kauli hapana ni ya kupingwa kabisa, haikupaswa kutolewa na mkuu wa nchi.
hata mkuu wa kijiji sidhani kama anaweza kutoakauli ya kichochezi kivile.
Kwa kweli ananiboa saana!Hapa sijamuelewa Rais wangu kabisa! kusema Wananchi wa NANGURUKU, wamekosa STENDI kwa sababu tu wamekosea kuchagua MBUNGE, yaani kama wangemchagua MBUNGE kutoka CCM wangepata STENDI, kwa kuwa wanemchagua kutoka UPINZANI hawawezi kupata STENDI kutokana na yeye bali MBUNGE wao.
Najiuliza, STENDI inayojengwa MBEZI DAR ES SALAAM, anayeijenga ni MBUNGE wa KIBAMBA, au Serikali ya MAGUFULI? STENDI ya Nanenane MBEYA! ilijengwa na Mbunge huyu SUGU? STENDI inayojengwa ARUSHA, muhusika ni GODBLESS LEMA, au Serikali ya MAGUFULI?
HII dhana ya Maendeleo hayana CHAMA imeshakufa? na Je! MAGUFULI ana uhakika gani hao wanaomuomba kama walimchagua BWEGE? JE! NANGURUKU hakuna wanachama wa CCM?
Mbona UBUNGO inajengwa FLY OVER, na Mbunge wake ni kutoka CHADEMA?
Credit: Abeid Suleiman