Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Unataka nambia uhitaji wako kwa mwanao, baba yako na mumeo vinalingana?!
Aisee nikishakuwa na mtoto vipaumbele vina change nawekeza nguvu kwa mwanangu bana, kwanini bother na mtu mzima mwenzangu
 
Mtaongea yoote ila hakuna kabila baguzi kwenye masuala ya ndoa kama sisi wakurya.....! Kijana wakiume ni ngumu mno kuoa kabila lingine nje ya mkurya mwenzake
 
Hii kitu niliwahi ikuta pale uboyizini aisee sema.sikuitilia maanani sana

Kuna jamaa fulani wao Wana nyumba Yao ya ibada kabisa pale shule walipewa Tena kwa kushinikiza kwamba wao hawawezi salia darasani sio mnawafahamu walivyo wanoko kulia Lia kila kitu .

Sasa Kuna tukio moja niliwahi shuhudia Hasa mwaka wangu wa mwisho sitokuja sahau Hawa watu kwenye nyumba zao za ibada wwanafundhishana Mambo ya kishenzi sana sema upande wa plli Ni wavumili tu maana wakiesema nao waende jino kwa jino hapatakalika .

Pia Kuna ishu ya ukabila nao japo haikuota mizizi memba wa singida Wana crew Yao,wasongea Wana crew Yao ,killi Boyz Wana Yao duuh

Wa dar na Moro ndio untouchable neno jembe pale Kati ukiitwa inaamana sawa na mluga luga tu [emoji1787]

I miss those days

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi naachaje kumpenda mtu niliye mubeba tumboni miezi Tisa jamani mbona ngumu Sana,Mimi nikizaa wanangu ndio ndugu wa kwanza wengine next, Tena nikipata jembe langu lakiume ndio haswa naota mapembe
ukipata wa kike vipi?
 
Sasa itabid uchague priority yako Ni Nini au utajali upendo?
 
Sie wanawake huzeeka mapema Ila twaishi mda mrefu hata vile tulivoumbwa Kama walezi na kuachia vitu moyoni haraka inasaidia
Hapana. Sababu ni kwamba kwenye ndoa zilizo nyingi Sana mwanaume anakuwa na umri mkubwa kuliko mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…