Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 573
YessssUmesomea tabora girls aka Warsaw?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YessssUmesomea tabora girls aka Warsaw?
Njoo kwangu me usiniite kaka....sikunyimi kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoo kwangu me usiniite kaka....sikunyimi kitu
we jamaa umemaliza yote!! nataman kulike hii post ×10000000000000Shida MNA damu ya kikenya nyie mpaka ulipita bahati mbaya mkawa Tanzania. Ila mlistahili muwe Kenya ndo mnafanana nao na ndo mana mnapigiwa kelele. Hivi unajua Kilimanjaro Ilikuwa Kenya sema Kenyatta hakuwa na bandari akaiomba Mombasa Ilikuwa kwa pande ya Tanzania ndo tukafanya exchange wakachukua Mombasa na sie tukaichukua Kilimanjaro.
Ujue hata ule ushindani wenu ule wa kikabila kuwa mko juu kuliko kabila lingine hayo mambo yapo Kenya.
Hivi unajua kuwa nesi,mwalimu,Engineer, mhasibu,bwana kilimo ama mwanasheria ni lazima afanyie kazi eneo alilozaliwa ama kwenye kabila lake hawezi kufanya kazi eneo LA kabila lingine. Mfano mkurya Engineer akafanye kazi Kwa wanyakyusa. Anafanya kazi huko huko kwao. Ndo wakenya walivyo.
Mana baba wa Taifa lao alipandikiza iyo mbegu tokea alivyopata Uhuru kwa kujimegea ardhi yenye rutuba na kuitoa kwa kabila na jamaa na marafiki zake.
Na ndo mana unaona hata uraisi unazunguka kwa wakikuyu na wakalenjini.
Unamjua Moi ni mpwa wa kenyata afu Moi akarudisha uraisi kwa waliompatia.
kenya wako sana sensitive kikabila ni kama Kilimanjaro tu. Ukiwa hizo kanda kitu cha kwanza wasipokutambua lafudhi yako ni utasikia unaulizwa aisee wewe jamaa ni wa wapi? Nimeishi huko nawajua Sana Kaenda huko Tarakea napajua sana.
mchaga hawezi nunua duka LA MTU wa kabila jingine kama kuna MTU wao hapo hapo jirani.
kenya wanashindana kikabila hawana umoja wa kitaifa kama tuliojengewa na baba yetu.
kenya huwezi unaitwa majina yote ya kizungu ama ya kiarabu mfano Abdalah Alli ama john Daniel. Wanavyoandikisha watoto wao cheti cha kuzaliwa ni lazima uweke jina LA kikabila ili wakutambue. Mwanangu wa kwanza nimemzalia Arusha na kumchukulia birth certificate Arusha.
nilimuandikisha mpaka jina LA tatu MTU hajajua ni kabila gani ila wakanikomalia kuwa ni sheria ni lazima uweke jina LA kikabila. Mfano MIE naitwa Peter john Augustine ni mfano. Mwanangu ni Grace. Sasa katika kuandikishwa like jina ili niingie ofisi za DC nipewe cheti wakadai hakuna jina LA ukoo..
nimeshangaa Hayo mambo nimeyakuta kwa kanda iyo iliyoendelea.
binafsi nimesoma shule zilizokuwa zinakutanisha vijana wa pande zote za Taifa na dunia. Mana nimepitia Tabora Boys,Ilboru,Tanga Technical kwa chuo ni Udsm na rudn ya Moscow Russia so nimekutana na ubaguzi wa kikabila ,kidini na kirangi aka tribalism,religionism and racism.
before sijaenda sekondari Nilikuwa nasikia ukabila na udini sikuwa najua mana yake . so nilipofikia huko nikaujua nilitokea kuuchukia mpaka nikaacha Kaenda kwenye majumba ya kuabudu Mungu namuabudu navyojua mwenyewe.
mfano wa ubaguzi wa kidini mwanafunzi mwenzenu anaumwa ambaye mko naye labda tycs,uhima,ukwata ,assa,ama Moslems. Sasa mmoja akiumwa akalazwa hospital wa mfano wa Moslems so uhima hawaendi kumjulia hali na hatangazwi during ibada kuwa kuna mwenzetu anaumwa tukamjulie hali. MIE nilitokea kuchukia Sana dini kinachohubiriwa hakifanyiwi kazi.
kuna kijana Nilikuwa nalala naye cube moja akaniambia huwa haendi msikitini mana kule viongozi wao wanahimiza kuwa wasishirikiane na makafiri katika kusoma. Na ni kweli wale wa f1 wakifika wale wa f3 wanawachukuwa na kuwafundishia kule wanakoswalia.
unakuta MTU anamfundisha wa darasa laki ukipita kama nawee upate material wanaacha kupeaana madini kama ni wa kabila moja wanaanza kufundishana kikabila ama wakifika kwenye points zinatamkwa kikabila
so nilitokea kuuchukia udini na ukabila katika maisha Yangu.
pia naogopa MTU mmekutana first day anakuulizia wewe kabila ama dini gani .
yaani ukiniuliza Hayo maswali miwili ndo mwisho wa story na wewe.
Tribalism and religionism create disunity among societies na hichi ndicho kilichofanya tukatawaliwa na wazungu mana wao kuwa na mtawala wa nchi nzima sie tulikuwa kikabila.
Na ndo mana kama machifu wote wangekuwa kitu kimoja mkoloni angatuacha.
ivi anajua kuwa mangi Mareale alipishana na Nyerere Uwanja wa Taifa tokea UNO.
Mareale alitangulia huko UNO kuomba Uhuru wa kaskazini ila hakupewa mana alikuwa na mentality ya kikabila.
Nyerere alivyoenda aliomba Uhuru wa Tanganyika yote ndio akapewa baabdaye akaunganisha Zanzibar na Tanganyika ukawa Tanzania.
Ulivyokuwa unavililia kwa kaka yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utanipa nini?
[emoji817][emoji736][emoji818]Hiyo audio ni sahihi na kweli
Mara nyingi nasemaga hapa jf, ukitaka kuwa na ndoa ngumu sana katika maisha yako,basi oa mchaga wote ni wapalestina wale. hakuna nafuu ya kusema huyu mmarangu, mkibosho, mmachame sijui wa wapi na wapi wote ni wale wale.
kwa sababu kijinsia ni wanawake lakini kitabia ni zaidi ya mwanaume katili, hawana utii, hawana unyenyekevu, hawana kujishusha, hawana lugha rafiki, hawana muda na malezi ya watoto, na hivi ndivyo mwanaume anavihitaji toka kwa mwanamke yoyote.Zaidi wana kiburi sugu, dharau, wana asili ya kulipa visasi, chuki na ni wachovu sana kiroho.Hata hii ya kutaja taja jina la Mungu, Yesu, Maria mara kwa mara ni kwa sbb za uchovu wa kiimani, wao ni matambiko na uganga uganga basi.
Fanya uchuguzi kidogo. Nenda mahakama za mwanzo ulizia madai ya talaka, wao ndio wana ongoza. Nenda kwenye makanisa kama kkkt Ulizia migogoro ya kifamilia iliyopelekwa kwao, wao wanaongoza. Njia nzuri ni wao waoana wao kwa wao, kinyume hapo utapoteza ndoa, utapoteza maisha kwa stress. Wana uwezo mzuri sana wa kumuua mwanaume kisaikolojia, na wengi hawajui hili.
Ni washirika wazuri kwenye biashara lakini si ndoa.na hata kwenye biashara sio wa kuwaamini vile.
Tell the truth, or someone will tell it for you
Mkuu nimekukubali sana kaka sijui Dada una akili sana nikupe big up. Na ndo mana pamoja na kuzunguka dunia yote nilijua thamani ya MTU wa kwenu so nikarudi kule kijijini nilikozaliwa nikauliza wazee wakanishauri nikikutana na binti naleta hoja mezani wazee wanachambua chimbuko lake I.e kwa mama yake na baba yake Uko wote unaangaliwa. Ila ukijifanya kama umesoma Hayo mambo ni ya zamani hawakulazimishi ila yatakapoanza kukutokea puani wao ya kwao ni kuwa tulikushauri ila hukutusikiliza kijana wetu.1.Haya mambo ya kiasili yapo na yananguvu sana ukiwa kijana huwezi kulijua hili maana utapofushwa na mawigi, ma make up mapishi na kupetiwa akili itahama utafikiri maisha yatakuwa hivyo milele
2.Kuna makabila wanawake ni asili yao kabisaa wanaongea kama machitiku kuanzia asubuhi mpaka jioni yupo kibarazani ni kuwasema watu tuu,akirudi ndani ni taarabu na tamthilia.
3.Kuna baadhi ya makabila wanafundishwa kabisa kwao mbinu na madawa ya kuizezeta akili ya mwanaume
4.Kuna baadhi ya wanawake wanapenda fedha kupita kitu chochote hivyo kila siku watu wa vikoba hawaishi kwako.
5.Kuna baadhi yawanawake huwa hawasahau kwao hivyo watoto watajengwa kuwa kwao ni ujombani
6.Kuna wanaume wasomi wenye hela wameingia kichwa kichwa mjini akili zimeshaatekwa wamewekeza kwa mke na mjini wameleweshwa na mapochopocho wanayopikiwa mjini na hao wanapozeeka hurudi makwao mikono mitupu bila mali wala mtoto vyote hupokonywa. Bora kila mtu are kwenye mila wanazolandana
6.023 * 10^23 nimekukubali sana1.Haya mambo ya kiasili yapo na yananguvu sana ukiwa kijana huwezi kulijua hili maana utapofushwa na mawigi, ma make up mapishi na kupetiwa akili itahama utafikiri maisha yatakuwa hivyo milele
2.Kuna makabila wanawake ni asili yao kabisaa wanaongea kama machitiku kuanzia asubuhi mpaka jioni yupo kibarazani ni kuwasema watu tuu,akirudi ndani ni taarabu na tamthilia.
3.Kuna baadhi ya makabila wanafundishwa kabisa kwao mbinu na madawa ya kuizezeta akili ya mwanaume
4.Kuna baadhi ya wanawake wanapenda fedha kupita kitu chochote hivyo kila siku watu wa vikoba hawaishi kwako.
5.Kuna baadhi yawanawake huwa hawasahau kwao hivyo watoto watajengwa kuwa kwao ni ujombani
6.Kuna wanaume wasomi wenye hela wameingia kichwa kichwa mjini akili zimeshaatekwa wamewekeza kwa mke na mjini wameleweshwa na mapochopocho wanayopikiwa mjini na hao wanapozeeka hurudi makwao mikono mitupu bila mali wala mtoto vyote hupokonywa. Bora kila mtu are kwenye mila wanazolandana
Sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulivyokuwa unavililia kwa kaka yako.
Afu naona unaanza uchokozi Nita organise nije tuwavamie tuwapatie adabu mana naona unakoelekea sio. So mnataka kutunyima nini ivi so sie tushuhudie mnaliwa na milambo kama sie hatuwahitaji ama. Pls komaa dadaAsanteeee , tuwakaribishe na shemeji zenu Milambo😁😁
Aya bhna ila usiwe mchaga au mtu unayetokea kilimanjaro.Sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo mnawabagua au siyo?Aya bhna ila usiwe mchaga au mtu unayetokea kilimanjaro.
Umemaliza mwaka gani?Yessss
Nina mali nyingi roho yangu naipenda bado.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo mnawabagua au siyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina mali nyingi roho yangu naipenda bado.
2007Um
Umemaliza mwaka gani?