Kama kila kilikuuma basi vya wamatumbi wenzako vinavyotendwa na wasiojulikana vinaweza kukufanya uzimie kabisa.Kifo cha Yule mwamba kiliniuma Sana...Toka hiyo siku sikuipenda nchi ya Marekani.
Na mpaka Jamaa anafariki hata sikuamini asee....
Ngoja niende tweeter nikuone tena kifo kile.
Hao maniga nao wana tabia za hovyo hivi walitokea nchi zipi.View attachment 3349314Tarehe 25 Mei inatimia miaka mitano tangu Mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd auawe na polisi kwa kukabwa na goti. Tukio hili lilisababisha maandamano makubwa kote Marekani na hata katika nchi nyingine duniani. Hata hivyo, sasa miaka mitano imepita, ubaguzi wa polisi dhidi ya Waafrika nchini Marekani haujabadilika hata kidogo.
Maelfu ya watu nchini Marekani siku hiyo waliandamana ili kumkumbuka Floyd, na kulaani utawala wa Trump kwa kupindua mageuzi ya polisi na hatua za kuhimiza usawa wa rangi.
Katika miaka mitano iliyopita, mashirikisho ya Wamarekani wenye asili ya Afrika, makundi ya haki za kiraia, maafisa wa majimbo na kaunti, na hata maafisa wa serikali kuu nchini Marekani wameendelea kutoa wito wa kutokomeza ubaguzi wa rangi na matumizi mabaya ya nguvu ya polisi. Hata hivyo, ikilinganishwa na miaka mitano iliyopita, hakujawa na mabadiliko makubwa katika suala la ubaguzi wa rangi au vitendo vya kinguvu kupita kiasi vya polisi, na matukio ya polisi kuwauwa Waafrika pia hayajapungua. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na tovuti ya Ramani ya Umabavu wa Polisi nchini Marekani, mwaka 2020, idadi ya watu waliouawa na polisi nchini Marekani ilikuwa 1,160, na kufikia mwaka 2024, idadi hiyo iliongezeka hadi 1,260. Wamarekani wenye asili ya Afrika bado ndio kundi linalokabiliwa zaidi na dhuluma za polisi. Wamarekani wenye asili ya Afrika wanachukua asilimia 12 ya watu wote nchini Marekani, lakini mwaka 2020, Wamarekani wenye asili ya Afrika walifikia asilimia 25 ya Wamarekani wote waliouawa na polisi, na mwaka 2024, kiwango hiki bado kilikuwa takriban asilimia 25.
Kwa maoni ya Wamarekani wenye asili ya Afrika nchini Marekani, ubaguzi wa rangi dhidi yao bado ni mbaya sana. Kulingana na matokeo ya kura za maoni zilizotolewa hivi karibuni na Shirika la Pew, asilimia 67 ya Wamarekani wenye asili ya Afrika wana mashaka kuhusu iwapo Marekani inaweza kutimiza usawa wa rangi. Wakati huo huo, asilimia 72 ya watu wanaona kwamba ufuatiliaji wa usawa wa rangi haujaleta mabadiliko halisi kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika nchini Marekani.
Miaka mitano ni muda wa kutosha kwa mtoto mchanga kukua na kuwa mtoto aliyeelimika shuleni, lakini hautoshi kwa Marekani, ambayo ni nchi yenye nguvu kubwa zaidi duniani, kujifunza maadili ya msingi ya haki na usawa. Wakati watu wanakusanyika katika mitaa ya Minneapolis mwaka baada ya mwaka, hawamuombolezi Floyd pekee, bali pia wanashtaki ubaguzi wa rangi ambao hauwezi kutokomezwa daima nchini Marekani.
Ni km wakenya, hakuna mijitu inajiona inajua lakini ya hovyo km wakenya ndivyo maniga yalivyoZamani nilikuwa naona wamarekani weusi wanaonewa sana na police
Lakini ukikaa katika jicho la haki na kisheria
Wamarekani weusi wengi sana ni wavunjifu wa sheria tena kwa kiwango cha juu sana
Kuna jamaa mmoja JF husema
I see mediocrity when i see nigga all over the world
Wamarekani weusi wengi ni wajinga sana
Polisi wa Marekani hacheki na kima siyo hawa wa kwetu na bado mnawapigia keleleKifo cha Yule mwamba kiliniuma Sana...Toka hiyo siku sikuipenda nchi ya Marekani.
Na mpaka Jamaa anafariki hata sikuamini asee....
Ngoja niende tweeter nikuone tena kifo kile.
Kuna ukweli kwenye hili, kila nikifuatilia hawa wanaouawa na polisi sikuti kwenye CV zao kama walikuwa walimu , wahasibu au wafanyakazi viwandani; bali utasomewa kitini cha matatizo lukuki ya kisheriaZamani nilikuwa naona wamarekani weusi wanaonewa sana na police
Lakini ukikaa katika jicho la haki na kisheria
Wamarekani weusi wengi sana ni wavunjifu wa sheria tena kwa kiwango cha juu sana
Kuna jamaa mmoja JF husema
I see mediocrity when i see nigga all over the world
Wamarekani weusi wengi ni wajinga sana
Hata huku Africa tunauana Sana, swali kwanini waafrika tuko hivyo, rejea mdude na kibao ni laana au niniKama kila kilikuuma basi vya wamatumbi wenzako vinavyotendwa na wasiojulikana vinaweza kukufanya uzimie kabisa.
Mzungu aliposema mwafrika (mtu mweusi) hawezi kujitawala hakukosea. Wewe angalia nchi zote zenye watu weusi, hata zilizopo mabara mengine unakuta zina matatizo. eg Haiti. Halafu ukija Afrika, zile nchi zenye wazungu kama Afrika Kusini zina maendeleo. Hii ni ajali? Hapana. Mbaya zaidi ni kuwa huwa hatutaki kukubali kuwa tuna matatizo jambo ambalo ni baya sana kwenye kuleta mabadiliko. Ukitaka kuondoa tatizo lolote ni lazima ukiri kwanza una tatizo.Hata huku Africa tunauana Sana, swali kwanini waafrika tuko hivyo, rejea mdude na kibao ni laana au nini
Dudubaya kasema hilo, kiujumla jitu jeusi ni takataka.Zamani nilikuwa naona wamarekani weusi wanaonewa sana na police
Lakini ukikaa katika jicho la haki na kisheria
Wamarekani weusi wengi sana ni wavunjifu wa sheria tena kwa kiwango cha juu sana
Kuna jamaa mmoja JF husema
I see mediocrity when i see nigga all over the world
Wamarekani weusi wengi ni wajinga sana
Hapo wewe una rangi gani mwenzetu?Dudubaya kasema hilo, kiujumla jitu jeusi ni takataka.
Kuna mpopo aliletwa nimfundishe kazi, week 1 tu kaanza yeye kunifundisha tena kazi.
Aliondokea mlango alioingia nao kimya kimya.