Ubaguzi wa polisi dhidi ya Waafrika nchini Marekani haujabadilika

Kuna mambo yanachangia hawa weusi wenzetu kuwa hivyo walivyo kwanza system, malezi na rejection. Jamii/mtu yeyote ambaye ame experience rejection kuna jinsi humpekekea kuwa aggressive na saa zote yupo kwenye defensive mode. Ila naona hii ya watu wengi huko majuu kuwa na dash cameras inasaidia kue expose unyama unaotendeka.
 
Kiranga Yoda hili lina ukweli?
 
Kweli aisee
 
Siwezi mtetea black American hata kidogo jamaa Kuna mdaa wanazingua kweli alfu wanatumia racism kama ngao kujirinda
 
Vipi kuhusu Barbados ni kisiwa cha watu weusi ila mbona wameendelea vizuri na ustaarabu
 
Dudubaya kasema hilo, kiujumla jitu jeusi ni takataka.
Kuna mpopo aliletwa nimfundishe kazi, week 1 tu kaanza yeye kunifundisha tena kazi.
Aliondokea mlango alioingia nao kimya kimya.
Kwa nini aliondoka?
 
Black america acheni wauawe tu ni wapumbavu
Kwanza hawatupendi waafrika
 
Hebu cheki kisiwa cha Barbados mkuu, weusi ila wameendelea na wastaarabu sana
 
Siwezi mtetea black American hata kidogo jamaa Kuna mdaa wanazingua kweli alfu wanatumia racism kama ngao kujirinda
Hata kama kaonewa huwezi kumtetea?

Kwa nini usichukulie kila tukio kwa upekee wake?
 
Black America anapitia magumu mengi kuliko mtoto aliyezaliwa kijijini hapa Africa? Ila mbona Waafrica wana discipline na less prone kwenye violence na crime kuliko black America?

Jamaa wamedekezwa sana na wazungu kwa kigezo eti walikuwa wanateswa zamani, matokeo yake wanazidi kuharibika
 
Jamii/mtu yeyote ambaye ame experience rejection kuna jinsi humpekekea kuwa aggressive na saa zote yupo kwenye defensive mode
Ubaguzi Gani wakati wana haki sawa na watu wengine wowote USA, mbona sisi tukienda kule tunafanikiwa kuliko wao
 
Ubaguzi Gani wakati wana haki sawa na watu wengine wowote USA, mbona sisi tukienda kule tunafanikiwa kuliko wao
Mkuu hiki ulichoandika kingekuwa kina ukweli kusingekuwa na kampeni za kuelimisha watu kuhusu ubaguzi. Kama wewe hajawahi ku experience ubaguzi haimanishi haupo
 
Ubaguzi upo tu hata kwetu hapa. Kuna wanasiasa wanakula virungu Kila mara na wengine wanalindwa.
 
Hapa naona lawama nyingi tu kwa black lakini tujiulize historia ya ubaguzi ikoje? sera na fursa kwa black ziko sawa?

N.B:Black race wengi bado wanapambana na trauma ya ubaguzi na ukoloni.
 
Hapa naona lawama nyingi tu kwa black lakini tujiulize historia ya ubaguzi ikoje? sera na fursa kwa black ziko sawa?

N.B:Black race wengi bado wanapambana na trauma ya ubaguzi na ukoloni.
Visingizio tu, sahizi wana haki sawa zote ila bado wameamua kuwa wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…