Ubahili, silaha ya siri wanayoitumia matajiri wengi ambao walikuwa masikini

Ubahili, silaha ya siri wanayoitumia matajiri wengi ambao walikuwa masikini

Ubahili lazima, ila usiwe wa kijinga tu..Waweza bana sana matumizi halafu wakafaidi wengine, bana huku wala good time...
 
Hakuna sababu ya kutafuta hela Kama wataka kuwa bahili
 
Ubahili lazima, ila usiwe wa kijinga tu..Waweza bana sana matumizi halafu wakafaidi wengine, bana huku wala good time...
Hakuna sababu ya kutafuta hela Kama wataka kuwa bahili
Hiyo yote nikufikia malengo mengine lakini mtu kama yule mmiliki wa facebook anamaisha mazuri tu lakini pesa zake azitumiki kufanyia anasa kupindukia
 
Hiyo yote nikufikia malengo mengine lakini mtu kama yule mmiliki wa facebook anamaisha mazuri tu lakini pesa zake azitumiki kufanyia anasa kupindukia
Hujui usemalo
Hao wote wanna majumba Bei bajeti ya wizara hapa tz
 
Mi nikipata hela zinanawasha jamani. Najitahidi kuw bahili nilishashindwa. Au kuna mkono wa mtu?
 
Tatizo mmekariri, nyumba unayoishi sio asset ni liability maana Kuna taxes , bills etc
Inategemeana. Kwa nchi kama Tanzania ndio tumeanza kujifunza kutozesha kodi nyumba tunazoishi. Lakini hata kama unatozeshwa Tsh 50,000/= kwa mwaka lakini una save Tsh 3,000,000/= ambayo ungeitoa kama kodi endapo ungepanga, unapata hasara gani?

Lakini mwisho wa siku ukitaka kuiuza, itakuwa ni asset tu.
 
Hili pia limewakumba wasanii wetu wa kibongo kipindi wanavuna pesa huwa wanafuja sana, siku ustar umeisha anabaki kuishi maisha ya ajabu sana
 
Unapoamua kuwa bahili,usipende kula vya wenzio wasio na ubahili,utakuja kuliwa Tigo bure.
 
2018 watanikoma, kwenye list ya hela yangu wamebaki wazazi na mchepuko m1 wa handeni naye asipoongeza maujuzi nambwaga.
asipoongeza ujuzi na maujanja. haki nimecheka ..
Mimi pia huwa naitwa mbahili. ila sio kwa kula
 
Nimesoma
Hii
Imenigusa between 2015 untill this year i have blown money so bad and now imekuwa ngumu to get that pick point again.. i wish nijifunze zaidi about money.. for me i like the good life i use to tell
Myself if i cant live maisha mazuri sasa hela yakazi gani.. the more money napata ndivyo navyoongeza gharama ya maisha yangu... yani this year ndo najuta hasa because i wish i had done better choices and non of the things i have make me happy anymore anyway.. nilikuwa nahisi kuwa navitu vya gharama ni respect ila wala kawaida tuu kwanza i thought itaniketea wateja wamahana in business kujiweka classy ila ndomkwanza people fear that its just gonna be expensive ‍♀️‍♀️‍♀️.. help jamani i wish nipate mtu anifundishe about money.. msiniambie books im too busy.
Rat race....its about mindset niggah...kipato kikiongezeka..matumizi yanaongezeka...na mwaka unaisha unajikuta palepale...apo ndo solution ya ubahili inapochukua nafasi
 
Tatizo mmekariri, nyumba unayoishi sio asset ni liability maana Kuna taxes , bills etc
Axante FUNDI...nafkiri MTU akisoma Rich dad poor dad ataelewa somo la hela vizuri..na vitabu vingine vingi....knowledge and information is power
 
Back
Top Bottom