Ubahili wenye tija

Ubahili wenye tija

dickson gosbert

New Member
Joined
May 25, 2015
Posts
3
Reaction score
11
Kama ubahiri ukifanywa kwa tija basi matokeo yake yatakuwa chanya na yenye manufaa.

Hatua kumi [10] za kutumia ubahili positively;

1. Chemsha maji ya kunywa nyumbani.
2. Usinywe soda, nunua blender tengeneza juisi yako mwenyewe, afya na pesa zako utasave za kunywa soda ovyo ovyo.
3. Usinunue vitu vya fashion, nguo, simu toleo jipya, gari toleo jipya.
4. Kutaka kuendana na wakati
5. Pika chakula chako mwenyewe hasa jioni
6. Usiende likizo ovyo ovyo
7. Usitoe ofa ovyo ovyo
8. Usiwe na mpenzi zaidi ya mmoja
9. Kabla ya kununua kitu fanya utafiti, kuna vitu vya bei ndogo ila vina quality nzuri
10. Kaa karibu na unapofanyia kazi zako
 
Nilikutana na mtu mmoja aliefanikiwa Hana njaa kabisa, katika kupiga stori akamwambia jamaa flan usiogope watu kukuita bahili na usitake kumsaidia kila mtu maana shida haziishi, jamaa alitoa codes za mafanikio kisirisiri alaf akasepa zake.
 
Ukufuatilia historia ya mamilionea wengi, utagundua siri ya utajiri wao ni ubahili (kujinyima), ubunifu, na kuwajibika kwenye majukumu yao bila kuchoka. Wanatenga muda mdogo sana wa kupumzika!

Hapa kwenye kuwajibika, haimaanishi kufanya kazi manually tu, hapana; unaweza ukamkuta hafanyi kazi za mikono na ametulia, ukajuwa anapumzika, kumbe anawaza mambo makubwa yanayohusu biashara zake!
 
8. Usiwe na mpenzi zaidi ya mmoja

Hii nakataa,
Ukiwa na mdangaji mmoja anaejua kupinga mizinga utaona Ni Bora ungenunua tu
Kuhonga kunakuja automatically unajikuta ushahonga. Ushauri wangu Kwa Mwanaume ambaye hataki apoteze pesa Kwa mwanamke akomae na Punyeto pamoja na mdogo wake pornography
 
Kuhonga kunakuja automatically unajikuta ushahonga. Ushauri wangu Kwa Mwanaume ambaye hataki apoteze pesa Kwa mwanamke akomae na Punyeto pamoja na mdogo wake pornography
Hapo kwenye punyeto unataka azidi kujimaliza Sasa nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom