dickson gosbert
New Member
- May 25, 2015
- 3
- 11
Kama ubahiri ukifanywa kwa tija basi matokeo yake yatakuwa chanya na yenye manufaa.
Hatua kumi [10] za kutumia ubahili positively;
1. Chemsha maji ya kunywa nyumbani.
2. Usinywe soda, nunua blender tengeneza juisi yako mwenyewe, afya na pesa zako utasave za kunywa soda ovyo ovyo.
3. Usinunue vitu vya fashion, nguo, simu toleo jipya, gari toleo jipya.
4. Kutaka kuendana na wakati
5. Pika chakula chako mwenyewe hasa jioni
6. Usiende likizo ovyo ovyo
7. Usitoe ofa ovyo ovyo
8. Usiwe na mpenzi zaidi ya mmoja
9. Kabla ya kununua kitu fanya utafiti, kuna vitu vya bei ndogo ila vina quality nzuri
10. Kaa karibu na unapofanyia kazi zako