Povu la nini tatizo lipo na linaendelea the more we discuss it the better.
Ukiacha wanajilegeza hao wengine wanapata matatizo sana maisha yao yote. Ni vyema wasichana/wanawake walalamike hadi bungeni na TAMWA ili tabia hii chafu ikomeshwe. Sijui kama kuna wanaume wanabakwa jkt ila kama wapo na wao walalamike, ukakamavu wa jkt ni wa kijeshi sio kubakwa.