Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushoga umeshamiri baada ya mtandao kuendea kipindi kile sio kama saasaUna umri gani? Unaanzia 2009 ina maana ulikuwa husomi magazeti ya udaku tangu 2000 uone yale mashoga maarufu jijini dar enzi hizo yalivyotamba kwenye kurasa za mbele yakihojiwa na kuripotiwa tabia zao hizo, au ulikuwa uhudhurii burudani za taarabu uwaone mashoga ya zama hizo? Mashoga mengine yalivaa na kujiremba kama wanawake. Wengine walijiita anti ......, miaka hiyo hakukuwa na simu za smartphone mashoga konk yalikuwepo. Sema siku hizi ndio imechagizwa zaidi na internet
Yale yalikuwa ni mashoga ambayo wengine wamezaliwa na hzo homoni Ila mtandao umeharibu hadi marijaliUna umri gani? Unaanzia 2009 ina maana ulikuwa husomi magazeti ya udaku tangu 2000 uone yale mashoga maarufu jijini dar enzi hizo yalivyotamba kwenye kurasa za mbele yakihojiwa na kuripotiwa tabia zao hizo, au ulikuwa uhudhurii burudani za taarabu uwaone mashoga ya zama hizo? Mashoga mengine yalivaa na kujiremba kama wanawake. Wengine walijiita anti ......, miaka hiyo hakukuwa na simu za smartphone mashoga konk yalikuwepo. Sema siku hizi ndio imechagizwa zaidi na internet
SanaaNi ngumu sana kupambana na hili janga, kwasababu wapo watu wanaweka pesa nyingi na nguvu kubwa sana kuhakikisha dunia inazama katika janga hili.
SanaaWatu wa hii sekta hua wanasikilizwa sana mana tayari wana support ya wakubwa.
Pornography ni janga ndio maana madawa ya kuongeza nguvu imekuwa biashara kubwa , mambo ya ulawiti watu wengi wamejifunza kupitia pornohraphyKuna watu wanakaa kabisa wanasema tuliweke taifa kwenye maombi ili vijana wanusurike na ushoga hivi mnajua hii Hali inasababishwa na nini?
Wa Africa hatukuwahi kuwa na Historia za ushoga miaka ya nyuma, Asili ya ushoga ni kwa wazungu huko ndipo ushoga ulipozaliwa Ila Mahali Africa tulipokosea ni kutawaliwa na wazungu alafu wakatuachia Tamaduni zao Hadi sasa tumezishika na tukaacha Tamaduni zetu
Na moja kati ya silaha kuu ya wazungu inayotumika kutuharibia vijana ni Internet na Utandawazi, kwa sasa Internet ndio imekuwa chanzo kikuu cha watoto Hadi vijana kujifunza michezo ya hatari, kizazi za 2000 Hadi 1998, mashoga wengi wa umri huo wametengenezwa na tabia za kujifunza mtandaoni.
Simaanishi kwamba Internet ni mbaya Ila Mahali ambapo tulikosea ni kutokuwaa na elimu yetu ambayo ingetufanya tuwe na Internet yetu binafsi satelite zetu binafsi, ambazo haviingiliani na Internet za wazungu, tulitakiwa hata search engines tuewe na za kwetu kama North Korea na watchina vile, Ila kwa kuwa tunapenda VYA bure sasa Internet ya mzungu ndio imejaa na ushoga Ndani yake na ndio maana hata google huwa inasheherekea siku ya mashoga duniani
Ndio maana mwaka 2009 kushuka chini ilikuwa ni Nadra sana kusikia mtu ni shoga hata kesi za Ulawiti kuziskia ilikuwa ni kwa mbinde, maana kipindi hiko Internet ilikuwa ni ya watu wa chache tena kwa Mambo ya muhim, sana hata picha za X Sisi tulimaliza O level 2008 hatuzijui cz Utandawazi Internet ilikuwa bado haijashika kasi
Mwaka 2010 ndipo bala lilipoanza baada ya kuingia simu zenye access za Internet 2011, ikaingia Facebook Tz, 2012 Instagram, 2013 Akaingia mzee wa kazi whatsap hapo sasa ndipo vijana wakaanza kucharuka na kusambaziana video za utupu
2015 swala la Internet likawa ni haki ya KILA mtu hadi watoto wanamiliki smartphone na wanaacces picha za ngono wakiwa watoto, unakuta mototo miaka 8,9--14 anashika simu na kuangalia picha za ngono kinyume na maumbile akitoka hapo anaenda kum tafuta mtoto mwenzie wanajaribu tena kwa zamu na ushahidi ni kesi za watoto wa shule ya msingi hapa Dar kulawitiana kwa zamu nadhani mlishawahi kuskia
Umeandika ukweli mchungu. Ushoga ulikuwepo tangu zamani. Ila utandawazi umechangia sana kwenye kuuongezea umaarufu.Kuna watu wanakaa kabisa wanasema tuliweke taifa kwenye maombi ili vijana wanusurike na ushoga hivi mnajua hii Hali inasababishwa na nini?
Wa Africa hatukuwahi kuwa na Historia za ushoga miaka ya nyuma, Asili ya ushoga ni kwa wazungu huko ndipo ushoga ulipozaliwa Ila Mahali Africa tulipokosea ni kutawaliwa na wazungu alafu wakatuachia Tamaduni zao Hadi sasa tumezishika na tukaacha Tamaduni zetu
Na moja kati ya silaha kuu ya wazungu inayotumika kutuharibia vijana ni Internet na Utandawazi, kwa sasa Internet ndio imekuwa chanzo kikuu cha watoto Hadi vijana kujifunza michezo ya hatari, kizazi za 2000 Hadi 1998, mashoga wengi wa umri huo wametengenezwa na tabia za kujifunza mtandaoni.
Simaanishi kwamba Internet ni mbaya Ila Mahali ambapo tulikosea ni kutokuwaa na elimu yetu ambayo ingetufanya tuwe na Internet yetu binafsi satelite zetu binafsi, ambazo haviingiliani na Internet za wazungu, tulitakiwa hata search engines tuewe na za kwetu kama North Korea na watchina vile, Ila kwa kuwa tunapenda VYA bure sasa Internet ya mzungu ndio imejaa na ushoga Ndani yake na ndio maana hata google huwa inasheherekea siku ya mashoga duniani
Ndio maana mwaka 2009 kushuka chini ilikuwa ni Nadra sana kusikia mtu ni shoga hata kesi za Ulawiti kuziskia ilikuwa ni kwa mbinde, maana kipindi hiko Internet ilikuwa ni ya watu wa chache tena kwa Mambo ya muhim, sana hata picha za X Sisi tulimaliza O level 2008 hatuzijui cz Utandawazi Internet ilikuwa bado haijashika kasi
Mwaka 2010 ndipo bala lilipoanza baada ya kuingia simu zenye access za Internet 2011, ikaingia Facebook Tz, 2012 Instagram, 2013 Akaingia mzee wa kazi whatsap hapo sasa ndipo vijana wakaanza kucharuka na kusambaziana video za utupu
2015 swala la Internet likawa ni haki ya KILA mtu hadi watoto wanamiliki smartphone na wanaacces picha za ngono wakiwa watoto, unakuta mototo miaka 8,9--14 anashika simu na kuangalia picha za ngono kinyume na maumbile akitoka hapo anaenda kum tafuta mtoto mwenzie wanajaribu tena kwa zamu na ushahidi ni kesi za watoto wa shule ya msingi hapa Dar kulawitiana kwa zamu nadhani mlishawahi kuskia
wapo watu? Watu gani hao walioweka fedha dunia izame kwa ushoga? Tafadhali tuwajueNi ngumu sana kupambana na hili janga, kwasababu wapo watu wanaweka pesa nyingi na nguvu kubwa sana kuhakikisha dunia inazama katika janga hili.
wapo watu? Watu gani hao walioweka fedha dunia izame kwa ushoga? Tafadhali tuwajue
Kumbuka mleta mada kamaliza kidato cha nne 2008!Una umri gani? Unaanzia 2009 ina maana ulikuwa husomi magazeti ya udaku tangu 2000 uone yale mashoga maarufu jijini dar enzi hizo yalivyotamba kwenye kurasa za mbele yakihojiwa na kuripotiwa tabia zao hizo, au ulikuwa uhudhurii burudani za taarabu uwaone mashoga ya zama hizo? Mashoga mengine yalivaa na kujiremba kama wanawake. Wengine walijiita anti ......, miaka hiyo hakukuwa na simu za smartphone mashoga konk yalikuwepo. Sema siku hizi ndio imechagizwa zaidi na internet