Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo suala kubwa ktk ushoga ni UNAFIKI.Kuhusu unafiki nakubaliana na wew bongo tunaongoza Kwa A+
Huyo anajifanya mjuaji kumbe anazidi kujichoresha na kuwa yeye ni mweupe kichwani,Wewe unachojaribu kufanya ni kulazimisha dhambi zote zifanane kitu ambacho kwa sheria za kidunia hakipo na ndio maana kila kosa lina adhabu na hukumu yake, aliyeua na aliyetapeli wote wametenda makosa ila hawawezi kuchukuliwa sawa wala kuhukumiwa sawa, unfortunately dunia inahukumu makosa ambayo yanapelekea kudhuru watu moja kwa moja na siyo hayo makosa ambayo watu wanaamua wafanye nini na viungo vyao
Wizooo hapa umemaliza kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu akijiita dokta usidhani ni SMART kivile.
Hawa wamefundishwa kudunga sindano na kukupa panado tu. Hawana uwezo wa kutambua mambo kwa kina.
Ukienda hospitali unakuta wanachati WhatsApp na kushabikia udaku wa Instagram. Ni mazumbukuku kama mazumbukuku wengine wa kitanganyika.
Usitarajie kupewa jibu lolote linalohitaji ufahamu wa kina kutoka kwa hawa madaktari uchwara wanaodunga watu sindano za viwiko.
Khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Wizo unaupiga mwingi hadi mimba yangu imecheza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi wallah, mweeehKuna homoni ya ushoga ipo kwenye kinyeo.
Hiyo homoni iligunduliwa na mwanasayansi wa UDSM anaitwa Jesca James mwaka 2003, mwanafunzi wa shahada ya ushoga.
Hadi leo ushoga umetambulika kuwa unachochewa na homoni inayoitwa Thrombomycyin iliyopo katikati ya puru na Marinda.
Asipokuelewa hapa, haelewi tena kamwee.Wewe ndio una uelewa mdogo sasa umeshasema dereva amekamatwa ana makosa anamuomba traffic apokee rushwa, sasa si anampa ili asipewe adhabu ya kuandikiwa cheti lakini si kwamba anapenda, ndio maana mwisho wa siku hao madereva huishia kulalamika
Hapo kwenye baba kumlawiti mtoto wake wa kiume ni kosa kama ambavyo baba kutembea na mtoto wake wa kike ni kosa, kwahiyo kosa hapo si hilo tendo lililofanyika bali ni aina ya watu wanaolifanya na uhusiano kati yao, huyo huyo baba hilo tendo akifanya na mwanaume mtu mzima mwenzie kwa makubaliano si kosa
Kuhusu ulawiti na ubakaji ndio nimesema ni kosa kwa sababu hapo mmoja anakuwa hajaridhia, haijalishi ni jinsia moja au jinsia tofauti as long as mmoja hajaridhia hilo ni kosa lakini kama wote wawili wameridhia hilo si kosa, kuhusu kujiua umeshasema kujiua ndio maana nikakuambia makosa yanayohukumiwa mara nyingi ni yale yanayopelekea kudhuru mtu moja kwa moja hata kama ni wewe mwenyewe
Ukiniambia mtu akitumia kiungo chake cha nyuma anakuwa anajidhuru hivyo anatakiwa ahukumiwe kwa hilo, basi itabidi tuanze na walevi na wavuta sigara maana sidhani kama kuna watu wanaodhuru viungo vyao kama hao, watu wanaokufa kisa mapafu au figo kuharibika ni wengi kuliko wanaokufa kutokana na madhara yanayosababishwa na ushoga
Wewe ndio hujui maana ya haki, hao mashoga wanatumia haki yao ya faragha kama ambavyo mwanaume na mwanamke wanavyotumia haki yao ya faragha, wewe una mamlaka gani ya kuingilia faragha yao wewe mtu akiingilia faragha yako unapofanya uzinzi utajisikiaje
Mpee za uso huyo, yaan unampaa had anapagawaa.Duuh kijana inaonekana huko shule walimu wako walikuwa na kazi ya ziada asee
Baba kulala na kijana wake hiyo ni incest na incest kwa sheria za nchi nyingi ni kosa hata kama watu wamekubaliana, kwahiyo kitakachofanya wahukumiwe hapo ni hilo kosa la incest na si hilo tendo walilofanya, kwa sababu wangefanya na watu wazima wengine kwa makubaliano yao wenyewe wasingehukumiwa maana siyo kosa
Sasa mimi kufurahia au kutokufurahia mwanangu wa kiume kuwa shoga hakulifanyi hilo tendo kuwa kosa, kwa mfano hata kazi ya kuokota makopo ni halali kabisa lakini sidhani kama kuna mzazi ambaye atafurahia kuona mwanaye ni muokota makopo, kwa hivyo mimi sitafurahia mwanangu wa kiume awe shoga kama ambavyo sitafurahia aje afanye kazi fulani hata kama ni halali
Kuhusu rushwa wewe umetumia vigezo gani kujua kwamba kuna watu wanapenda kutoa rushwa, labda uniambie ni kwa mazingira gani mtu anaweza akapenda kutoa rushwa sehemu ambayo alitakiwa apate haki yake bure au kwa gharama nafuu zaidi, yani mtu awe na option nyingine nzuri zaidi halafu yeye achague tu kutoa rushwa bila sababu za msingi
Tatizo lenu mkishaishiwa hoja mnakimbilia ad hominem attacks, kwahiyo mtu akitetea walemavu basi na yeye ni lazima awe mlemavu maana naona umeanza kuni attack personally, kana kwamba mimi kuongea uhalisia kuhusu hao watu basi unaona kama nawatetea na ukaconclude kuwa automatically mimi ni one of them
Mambo ya siri hayo, lolote lawezekana.Kwa hiyo mkuu Jay z, Barack Obama na Papa Francis wote washafumuliwa marinda?
[emoji1][emoji1]
Kwahiyo unasema ukimuona wa haiba yako hakuvitiiSasa huna hoja zaidi ya kuleta blaa blaa, kwann nisichekee?
Ushoga unizidie kwakoo wee? Hufiti hata kunisisimua nakuona km mwenzangu tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23] em ongeza sauti nisikie.Kwahiyo unasema ukimuona wa haiba yako hakuvitii
Lakini ukiona njemba ngangari mkomavu, unatepeta[emoji23]
Kabisaa
Hivi unafahamu kwamba kuna watu wanavutiwa na watu wa jinsia yao, tangu wakiwa wadogo tena wakiwa hawajawahi hata kufanya hiyo michezo, hili nalo kitaalam unaweza ukalielezeaje hebu lielezee bila kutumia mihemko mkuu
Wakati mwingine sidhani kama watu huwa wanakimbia mijadala fulani, ila huwa wanaamua tu kuachana nayo kwa kuona kuwa aidha wanaojadiliana nao hawana hoja, au wanakuwa wagumu kuelewa wanachoelezewa hivyo kuamua kubisha tu
Sababu hiyo maana ya hormone hata kama mtu angekuwa hajui sidhani kama angeshindwa hata kugoogle, kisha akarudi muendelee kujadiliana sioni kama ni kitu cha kumfanya mtu akimbie mada, sema ndio vile tena mtu akiacha kujadiliana basi tunaconclude ameshindwa na hana hoja
Naomba tafsiri ya Uasi na uhalifu tafadhari.
hakuna cha malezi ww mwenyewe ukigegedwa unakua shogaUshoga ni issue ya malezi na maadili ya jamii. Haihusiani na hormones whatsoever. Hakuna hormones za ushoga.