Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Ushoga umeshamiri baada ya mtandao kuendea kipindi kile sio kama saasa
 
Yale yalikuwa ni mashoga ambayo wengine wamezaliwa na hzo homoni Ila mtandao umeharibu hadi marijali
 
Watu wa hii sekta hua wanasikilizwa sana mana tayari wana support ya wakubwa.
 
Al manusura nimtwange makonde mwanakijiji mmoja mwanaume baada ya kuniambia bila woga twende getoni kwake nikamshughulikie. Niliona ajabu wakati mwanamke hathubutu kuniambia hivyo. Hata hivyo nilifanikiwa kuchomoka na kutokomea gizani asijue nimeelekea wapi
 
Pornography ni janga ndio maana madawa ya kuongeza nguvu imekuwa biashara kubwa , mambo ya ulawiti watu wengi wamejifunza kupitia pornohraphy
 
Frankly; mtu mzima na akili zake timamu akiamua kufirwa watajuana na mungu wao wala haipaswi kuumiza watu vichwa!
 
Umeandika ukweli mchungu. Ushoga ulikuwepo tangu zamani. Ila utandawazi umechangia sana kwenye kuuongezea umaarufu.
 
Sodoma na Gomora nayo kulikuwa ni utandawazi? Hapo ni watu wamekosa hofu ya Mungu. Hivi mwanaume unaanzaje kumtamani mwanaume mwenzio?? Au kumlawiti mtoto wa kiume?? Wengine wanaenda mbali wanabaka mifugo.!!!
 
Ni ngumu sana kupambana na hili janga, kwasababu wapo watu wanaweka pesa nyingi na nguvu kubwa sana kuhakikisha dunia inazama katika janga hili.
wapo watu? Watu gani hao walioweka fedha dunia izame kwa ushoga? Tafadhali tuwajue
 
wapo watu? Watu gani hao walioweka fedha dunia izame kwa ushoga? Tafadhali tuwajue
  • GATE.
  • Gay and Lesbian International Sport Association (GLISA)
  • Global Respect In Education (GRIN)
  • Hivos.
  • Human Dignity Trust.
  • International Lesbian, Gay, Bisexual, Trans and Intersex Association (ILGA)
  • IGLYO.
Hao ni baadhi tu.
 
Kumbuka mleta mada kamaliza kidato cha nne 2008!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…