DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
..lazima kuna chuo utakuwa umesomea umechambua kitaalam haswaa [emoji1787]
 
Wengi wanakua wameridhia 🤔🤔mi kila weekend naendaga beach naonaga tena wengine wanataka wenyewe

Sema wakuu mnaopigia kwenye maji mna moyo😁 nlijaribu sitakaa nirudie
Na wewe ndio michezo yako 😂😂😂
Afu mkija kwenye vijiwe vyenu mnajibadilisha majina mnajiita mabaharia
 
Mweshimiwa waziri Dkt. Gwajima D kwa heshima na taadhima kama umepata nafasi ya kuangalia hiyo video hao jamaa ni kama wapenzi tofauti na watu wanavyosema hapa kwamba kuna ubakaji nk
Cha msingi maadili yahimizwe kuanzia ngazi ya familia la sivyo serikali haya mambo kuyamaliza haitoweza maana ni baharini kwenye mito vichakani usiku kwenye giza sasa sijui serikali itashika lipi
 
Na wewe ndio michezo yako 😂😂😂
Afu mkija kwenye vijiwe vyenu mnajibadilisha majina mnajiita mabaharia
Skia dada nkupange huyu mtoa mada aliamua kupotosha tu kuonesha huyo mdada kabakwa, full video inaonesha walidinyana vzr na wakatoka kwenye maji wakawa wanashikana vizuri mpaka huyo mdada anarekebisha Pete

Kile kitombo kilifanyikia maji mafupi sio maji marefu, maji marefu huwezi mbato😁 wazoefu wananielewa hapa
 
Tafuta full video hamna ubakaji mzee
 
Mwenyewe nimeona kafurahia show kabisa 🤣🤣🤣
Na inaonyesha waliingia kipindi cha pili 😜
 
Bado sana. Mpaka siku binti au dada anakumbwa na masaibu haya ndiyo mtu unashtuka. Mfumo dume bado unatawala japo nimeona hata baadhi ya wanawake wenyewe wanaunga mkono. Badooo!
i can see, hata kama wanawake wana harakati hawapiganii hili, hawaandai spece kwenye mitandao kupigania hili lakini Cole, i think Wengi sana, na kwenye Kemp zao huwa wanashindana idadi ya wanawake waliotembea nao.
Jamaa wanakosea humu comment negative sana na utakuta wao wana watoto wakike pia ndugu wa kike hovyo sana
Aisee Kwa staili hiyo wanakula hata wasichana 10 kwasiku
 
Hili limezungumzwa sana, hata kuna siku lilifika kwa viongozi, hao mabinti labda taarifa hazijawafikia au tunasema wageni mjini.
 
i can see, hata kama wanawake wana harakati hawapiganii hili, hawaandai spece kwenye mitandao kupigania hili lakini Cole, i think Wengi sana, na kwenye Kemp zao huwa wanashindana idadi ya wanawake waliotembea nao.
Yamkini wana HIV na magonjwa mengine ambukizi maana hiyo ni ngono zembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…