DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
kiukweli hili ni janga sana japo hawa wanawake wapo wa aina mbili kuna ambao huwa wanaenda kwa lengo la kufanya na hao ma beach boy na kuna wale wasiojua chochote na hawa ndio waathirika wakubwa wa hili tatizo na kibaya zaidi hawa vijana wengi wao ni waathirika na kama unavyojua mapenzi ndani ya maji michubuko ni lazima na huwa hawatumii kinga na hata mtendewa akitaka kutimia kinga ili kujilinda itatumikaje ndani ya maji
serikali iliangalie hili tunapoteza nguvu kazi kubwa sana kutokana na huu upumbavu
 
Mbona kama hapo kina kifupi.

Na nani alikuwa anachukua hiyo video?

Kwanini asichukue hatua?
Mchukua video katumia tecno, ni beach boy mwenzie na inasemekana wanatumia hizo picha kupigia puchu.
Hatua gani kama CAG kakuta mabilioni na kashindwa kuchukua hatua?
Umesikia tamk lolote la serikali na hatua dhidi ya ma beach boy leo 30-10-2023?
 
Kwani Mkuu CAG anahusika na ukaguzi wa mahesabu huku Kwa Ma beach boy?
 
Kwani Mkuu CAG anahusika na ukaguzi wa mahesabu huku Kwa Ma beach boy?
Ndugu umeuliza mpiga picha amechukua hatua gani na mimi nimekuuliza CAG alichukua hatua gani alipokuta ufisadi wa 1.5 trilion?
Everone bussines is nobody bussiness!
Siku aliwa mtoto wa Mkubwa hapo Beach na majamaa yakamuambukiza gono-sugu ndipo hatua itachukuliwa.
 
Samahani sijui wewe ni mkaka?
Unataka tukaogelee baharini na madera na nyie wanaume mje na suti?
Mimi ni kaka mkubwa .
Sawa uje na kichupi lakini uwe na mpenzi au mwenza wako .
Hii ni Africa sio Europe au America , culture ya Africa mwanamke hatakiwi kuwa na uhuru wa kupitiliza , hii tunayoiga sasahivi equality for all ni mambo ya wazungu !
 
inaonekana hujui mifumo ya beach ipoje mimi huwa naona sana hii michezo beach ya mji mwema na nilishawahi kushuhudia binti aliyeyelekezwa na mwalimu wake kisa kabaniwa
sikujua kama alikufa au alipona baada ya kuokolewa na kukimbizwa hospital akiwa hajitambui tena kwa daladala iliyokua imewaleta vijana wa mbagala na askari walikuwepo eneo la tukio
Kwa hiyo ni kweli kabisa kwamba mifumo ya beach mwanamke akibakwa hawezi kabisa kushtaki ili hali anamfahamu mbakaji?
 
Mimi ni kaka mkubwa .
Sawa uje na kichupi lakini uwe na mpenzi au mwenza wako .
Hii ni Africa sio Europe au America , culture ya Africa mwanamke hatakiwi kuwa na uhuru wa kupitiliza , hii tunayoiga sasahivi equality for all ni mambo ya wazungu !
Kwa nini Afrika hatuwezi kuwa na equality for all?
 
Ndugu umeuliza mpiga picha amechukua hatua gani na mimi nimekuuliza CAG alichukua hatua gani alipokuta ufisadi wa 1.5 trilion?
Everone bussines is nobody bussiness!
Siku aliwa mtoto wa Mkubwa hapo Beach na majamaa yakamuambukiza gono-sugu ndipo hatua itachukuliwa.
Hatua itachukuliwa na nani? Kama wanaobakwa hawataki kushtaki hatua itachukuliwaje?
 
Hatua itachukuliwa na nani? Kama wanaobakwa hawataki kushtaki hatua itachukuliwaje?
Mzigo unliwa kwenye maji utakuwa na ushahidi gani? Kumbuka kwenye ubakaji huwa shahawa ndio ushahidi wa kwanza na kama ni mtoto basi "hymen" al maarufu "bikra" kuchanwa ndio ushahidi wa awali.
Hapo kwenye maji hiyo clip JAMII FORUM wame edit-iangalie full utaona huyu binti alivyomaliza kubakwa hapo coco beach aliingiza mkono kwenye chupi akajisafisha ndio akawa anatoka huku anapandisha chupi.
Usishangilie bali paza sauti kukemea na serikali ichukue hatua kali.
 
Back
Top Bottom