Asee ndege joni this is too much. Kwanini hutulii na avatar picha moja? Kila wakati unabadilisha tu. Acha mara moja tabia hii. Hatufurahishwi tunakereka arriffAisee hili likatazamwe kwa ukaribu
Mchukua video katumia tecno, ni beach boy mwenzie na inasemekana wanatumia hizo picha kupigia puchu.Mbona kama hapo kina kifupi.
Na nani alikuwa anachukua hiyo video?
Kwanini asichukue hatua?
Kwani Mkuu CAG anahusika na ukaguzi wa mahesabu huku Kwa Ma beach boy?Mchukua video katumia tecno, ni beach boy mwenzie na inasemekana wanatumia hizo picha kupigia puchu.
Hatua gani kama CAG kakuta mabilioni na kashindwa kuchukua hatua?
Umesikia tamk lolote la serikali na hatua dhidi ya ma beach boy leo 30-10-2023?
Ndugu umeuliza mpiga picha amechukua hatua gani na mimi nimekuuliza CAG alichukua hatua gani alipokuta ufisadi wa 1.5 trilion?Kwani Mkuu CAG anahusika na ukaguzi wa mahesabu huku Kwa Ma beach boy?
Mimi ni kaka mkubwa .Samahani sijui wewe ni mkaka?
Unataka tukaogelee baharini na madera na nyie wanaume mje na suti?
Kwa hiyo ni kweli kabisa kwamba mifumo ya beach mwanamke akibakwa hawezi kabisa kushtaki ili hali anamfahamu mbakaji?inaonekana hujui mifumo ya beach ipoje mimi huwa naona sana hii michezo beach ya mji mwema na nilishawahi kushuhudia binti aliyeyelekezwa na mwalimu wake kisa kabaniwa
sikujua kama alikufa au alipona baada ya kuokolewa na kukimbizwa hospital akiwa hajitambui tena kwa daladala iliyokua imewaleta vijana wa mbagala na askari walikuwepo eneo la tukio
Kwa nini Afrika hatuwezi kuwa na equality for all?Mimi ni kaka mkubwa .
Sawa uje na kichupi lakini uwe na mpenzi au mwenza wako .
Hii ni Africa sio Europe au America , culture ya Africa mwanamke hatakiwi kuwa na uhuru wa kupitiliza , hii tunayoiga sasahivi equality for all ni mambo ya wazungu !
Hatua itachukuliwa na nani? Kama wanaobakwa hawataki kushtaki hatua itachukuliwaje?Ndugu umeuliza mpiga picha amechukua hatua gani na mimi nimekuuliza CAG alichukua hatua gani alipokuta ufisadi wa 1.5 trilion?
Everone bussines is nobody bussiness!
Siku aliwa mtoto wa Mkubwa hapo Beach na majamaa yakamuambukiza gono-sugu ndipo hatua itachukuliwa.
Inawezekana baadhi ya watu..Unaanzaje kusisimkwa kwny maji??...
Mzigo unliwa kwenye maji utakuwa na ushahidi gani? Kumbuka kwenye ubakaji huwa shahawa ndio ushahidi wa kwanza na kama ni mtoto basi "hymen" al maarufu "bikra" kuchanwa ndio ushahidi wa awali.Hatua itachukuliwa na nani? Kama wanaobakwa hawataki kushtaki hatua itachukuliwaje?