Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ubalozi unaamini kitawaka kwa hiyo wanawaambia raia wake wachukue tahadhari waepuke misongamano
endeleeni kuamini hivohivo ili iwe suprizWaache kutishia raia wao, wa Tz huwa wanaandamana kwa mdomo na kwa comment mitandaoni ila siyo kuingia barabarani
Apigwe nduli Id Amin Mama!View attachment 3479115
Ubalozi unaamini kitawaka kwa hiyo wanawaambia raia wake wachukue tahadhari waepuke misongamano
Ndicho walichosema ?Ubalozi unaamini kitawaka kwa hiyo wanawaambia raia wake wachukue tahadhari waepuke misongamano
Kuna kitu nakijua sitakisema hadi siku maalum zikifikaWaache kutishia raia wao, wa Tz huwa wanaandamana kwa mdomo na kwa comment mitandaoni ila siyo kuingia barabarani
Tunasubiri hiyo siku ikifika.Kuna kitu nakijua sitakisema hadi siku maalum zikifika
Sio sasa tahadhari muhimuWaache kutishia raia wao, wa Tz huwa wanaandamana kwa mdomo na kwa comment mitandaoni ila siyo kuingia barabarani
Mbwembwe tu hamna unachojua kama unajua sema sahivi, usisubiri badae kikitokea chochote useme nilijua tuKuna kitu nakijua sitakisema hadi siku maalum zikifika