Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Uko sahihi sana Mkuu.Waache kutishia raia wao, wa Tz huwa wanaandamana kwa mdomo na kwa comment mitandaoni ila siyo kuingia barabarani
Uko sahihi sana Mkuu.Waache kutishia raia wao, wa Tz huwa wanaandamana kwa mdomo na kwa comment mitandaoni ila siyo kuingia barabarani
Hawa watu siwaamini na wala hawana msaada kwa hii nchi. Wangekuwa wana msaada wangekuwa wameshafanya jambo.View attachment 3479115
Ubalozi unaamini kitawaka kwa hiyo wanawaambia raia wake wachukue tahadhari waepuke misongamano
Bado Marekani soon
Hivo ndivo ccm wanavoaminiWaache kutishia raia wao, wa Tz huwa wanaandamana kwa mdomo na kwa comment mitandaoni ila siyo kuingia barabarani
View attachment 3479115
Ubalozi unaamini kitawaka kwa hiyo wanawaambia raia wake wachukue tahadhari waepuke misongamano
Tunakisubiri mkuu siku ukikisema nitagKuna kitu nakijua sitakisema hadi siku maalum zikifika
Kwa mwaka huu naona hali ni tofauti, haijawah kutokea watu wengi kuongea lugha moja. Na maandamano mengi yalikuwa ni yakichama (Chadema), hii movement sio ya chama, yaan watu wameungana sio CCM sio Chadema na sio wasiokuwa na chama.Sidhani kama kitatokea kitu, watz sisi ni keyboard warriors zaidi
Mimi nipo mguu nje, mguu ndani.Kwa mwaka huu naona hali ni tofauti, haijawah kutokea watu wengi kuongea lugha moja. Na maandamano mengi yalikuwa ni yakichama (Chadema), hii movement sio ya chama, yaan watu wameungana sio CCM sio Chadema na sio wasiokuwa na chama.
Sikuwah kudhani kama nitaandamana siku moja, ila safari hii hali yangu nahisi tofauti kabisa, na nimejiapiza kuandama kwa gharama yoyote na mm sio Chadema wala sio CCM, something I never thought about.
29 October, ni siku ya kuzaliwa JPM. The day to remember.
Mimi nipo mguu nje, mguu ndani.
Ila kiukweli kabisa natamani kinuke.
Mimi si mfuasi wa chama chochote ila yanayoendelea nchini yanakera sana
Kwa mwaka huu naona hali ni tofauti, haijawah kutokea watu wengi kuongea lugha moja. Na maandamano mengi yalikuwa ni yakichama (Chadema), hii movement sio ya chama, yaan watu wameungana sio CCM sio Chadema na sio wasiokuwa na chama.