GE2025 Ubalozi wa Canada Tanzania, watahadharisha raia wake kuhusu Oktoba 28 na 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chukua tahadhari 🔩⚙️🔧⛏️🛠️🗜️⚒️⚒️
 
Wakuu, Kama hatuwezi kuandamana tarehe hiyo Bora tuache sio kujiaibisha kwa majirani (Kenya).

Na Kama kweli tumedhamiria tufanye kweli tena kwa kkwango Cha juu sana.

Na katika kuandamana, mwenzetu akikamatwa na polisi tuhakikishe tunamtoa mikono mwa adui. Tusikubali wenzetu kukamatwa.

Na nyie viongozi mnaohamsisha kuandamana muwepo, muache ukuda.

NITAKUWEPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…