Ubalozi wa Canada: Tunafatilia kwa karibu kesi ya Freeman Mbowe, wasema demokrasia inahitaji uhuru wa kutoa maoni na mikusanyiko

Ubalozi wa Canada: Tunafatilia kwa karibu kesi ya Freeman Mbowe, wasema demokrasia inahitaji uhuru wa kutoa maoni na mikusanyiko

John7371

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
2,994
Reaction score
6,676
Canada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.

Pia, Soma=▷ Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

Screenshot_20210805-145038~2.png
 
Canada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.
Nawashauri CCM hii kesi waachane nayo...inawaaibisha...watafute njia nyingine bora zaidi ya kumdhibiti Mh. Mbowe na mikutano yake ya kidai katiba mpya.
 
Canada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.

Maneno mazito sana haya kwa Mataga, na wanufaika wa status quo kuelewa.
 
Nawashauri CCM hii kesi waachane nayo...inawaaibisha...watafute njia nyingine bora zaidi ya kumdhibiti Mh. Mbowe na mikutano yake ya kiaai katiba mpya.

Masikio ya kenge labda kama umeyasahau.
 
Mama keshafika level ya meko.
She doesn't care anymore
Hapana, mama maji mafupi, si unaona anavyowanyenyekea wazungu wampe mikopo na misaada, hapo hachomoi.

Mama upinzani wa ndani na nje hatauweza, huku ndani rating yake imeporomoka kwa kiwango kikubwa kwa muda mfupi,nje nao wakizingua itakua shida zaidi.

Magu alikua hatishiki, huyu ameshatepeta mapema sana.

Kama unakumbuka Waziri Gwajima siku ile ya kuzindua chanjo alisema mama anajitahidi kuomba mahusiano mazuri na wakubwa wampatie chanjo bure ama kama msaada baada ya zile 20% za covax kuisha kwani hana hela ya kununulia chanjo kwa sababu ule mkopo wenyewe wa usd 500m hautatosha kununua chanjo.
 
Hawa polsi ambao sifa yao kubwa ya kupata ajira huko ni kutokuwa na uwezo mubwa darasani, hakika watampakaza uvhafu mama mpaka usoni.

Ukikubali ushauri wa mjinga, baadaye nawe utaonekana mjinga, hata uwe mwerevu kiasi gani!
 
Hapana, mama maji mafupi, si unaona anavyowanyenyekea wazungu wampe mikopo na misaada, hapo hachomoi.

Mama upinzani wa ndani na nje hatauweza, huku ndani rating yake imeporomoka kwa kiwango kikubwa kwa muda mfupi,nje nao wakizingua itakua shida zaidi...
Meko angeendelea miaka mitatu mbele lazima nchi ingemshinda-Kiufupi nchi alikuwa ameshaifanya bankrupt na hakuwa na way out-ndo maana leo unaona makodi ya kila aina kama mzalendo na makusanyo ya luku ili serikali iweze kujiendesha.
 
Mbowe kama alithibitika anastahili kukamatwa kwa ugaidi ni bora wangemkamatia msibani kule machame na si kwenye tukio la kudai katiba kule Mwanza, serikali mmetuangusha kimataifa na sasa serikali itaumia kiuchumi wa kimataifa na wananchi ndio watakaosaga meno kama enzi si nyingi.
 
Nawashauri CCM hii kesi waachane nayo...inawaaibisha...watafute njia nyingine bora zaidi ya kumdhibiti Mh. Mbowe na mikutano yake ya kiaai katiba mpya.
Mambo ya kisheria huishia mahakamani. Kama ya sabaya mataga walipiga kelele weee hadi wakazoea nanyi pigeni makelele mtazoea tu.
 
Back
Top Bottom