Ubalozi wa Canada: Tunafatilia kwa karibu kesi ya Freeman Mbowe, wasema demokrasia inahitaji uhuru wa kutoa maoni na mikusanyiko

Canada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.
Every country has its own definition of democracy, transparency and legal processes for its citizen, depending on the different circumstances they have been through over time.

And no state has the rights and legitimacy to impose their own notion about anything, whatsoever, on others, under any pretext.
Let our legal and law enforcers do their jobs without undue influences from bystanders.
 
Pole sana mkuu kwa hoja yako finyu,hujui maana ya international standards and norms za human rights ikiwemo haki za binadamu zilizomo kwenye UN universal declaration of human rights? hujui kwamba tanzania imetia saini kwenye mikataba mbalimbali ya kimataifa juu ya haki za binadamu?
 
Ni Ujinga " Democracy has no more than one meaning". Ni Upuuzi tu Kufikilia Hivyo Unavyofikiria Kama mtu Mzima.
 
Pole sana mkuu kwa hoja yako finyu,hujui maana ya international standards and norms za human rights ikiwemo haki za binadamu zilizomo kwenye UN universal declaration of human rights? hujui kwamba tanzania imetia saini kwenye mikataba mbalimbali ya kimataifa juu ya haki za binadamu?
Usiangaike Nae huyo ni Fara hata Hajui alisoma nini...
 
Ghafula paa nchi mikononi kwa Mabeyo kwa mwaka mmoja.
Ghafula paa uchaguzi na Mbowe mgombea urais.
Ghafula paa wasimamizi wa uchaguzi ni JWTZ.
Ghafula paa MBOWE mshindi
Itakuwaje? CCM tutaanza kutoa siri?
Nani atakubali kuwa Mkiti taifa CCM
 
Haya ni maneno matupu, mabeberu ukishawahakikishia maslahi yao hawanaga makali isipokua hubakia mikwara ili wasionekana ni watu wa maslahi
 
Every country has its own definition of democracy, transparency and legal processes for its citizen, depending on the different circumstances they have been through over time.

And no state has the rights and legitimacy to impose their own notion about anything, whatsoever, on others, under any pretext.
Let our legal and law enforcers do their jobs without undue influences from bystanders.
Acha uongo binadamu wote Ni sawa ! Yaani unataka kutuambia Kwamba mtu wa China asipo kula njaa haifanani na mtanzania au mkenya??

Silogani zingine mnazi-copy kwa watu wanao jiita sasomi lakini usomi wao hauisaidii jamii
 
CCM mmeacha tupu zenu nje mbele ya uso wa dunia
Yaonekana ma CCM hawakujifunza lolote toka kwa matendo mabovu ya meko. Biushungi kafeli mtihani wa uongozi, hafai kwa chumvi wala sukari
 
Mama keshafika level ya meko.
She doesn't care anymore
Anapowaachia wale ambao waliwekwa rumande mkawa mnamsifia mama anaupiga mwingi sana , na mkadhani mama mnaweza kumuonea na kumdhalilisha , sasa naye kachoka na kuamua yeyeyoyte atakayemchezea au kumjaribu atakula jeuri yake.
 
CHADEMA wanaenda kuwa chama cha siasa kama NCCR-MAGEUZI au CUF believe me or not ....viongozi wake wameshindwa kuwa wise enough katika huu UTAWALA wa MAMA wangeweza ku-win mambo yao mengi kama wenge kuwa na Strategy zilizo focus future kama chama lkn wamekuwa BLIND AU wanakwenda tu kutokana na Matukio na sasa na amini kabisa TANZANIA hakuna opposition wenye malengo.

Hii kesi aliye kuwa nayo MBOWE hawezi toka leo wala kesho na hiyo kesi ipo pale kimkakati na wanazo GROUND za kumshitakia.

Hizo kelele za watu kwa sasa zipo sababu kesi baado mpya After 3 to 4yrs kesi ikiwa inaendelea watu watakuwa wameshachoka kufatilia na moral unakwisha hii ni natural kwa mwanadamu.

(A FOOL LEARN A MISTAKE BY HIMSELF BUT WISEMAN LEARN THROUGH OTHERS).
 
Kwa hiyo kwenye hili wewe ndiyo wise pekee unayeona mbele? Kwamba CCM ndo wakuishauri CDM nn cha kufanya?
 
CHADEMA wanaenda kuwa chama cha siasa kama NCCR-MAGEUZI au CUF believe me or not ....viongozi wake wameshindwa kuwa wise enough katika huu UTAWALA wa MAMA wangeweza ku-win mambo yao mengi kama wenge kuwa na Strategy zilizo focus future kama chama lkn wamekuwa BLIND AU wanakwenda tu kutokana na Matukio na sasa na amini kabisa TANZANIA hakuna opposition wenye malengo.

Hii kesi aliye kuwa nayo MBOWE hawezi toka leo wala kesho na hiyo kesi ipo pale kimkakati na wanazo GROUND za kumshitakia.

Hizo kelele za watu kwa sasa zipo sababu kesi baado mpya After 3 to 4yrs kesi ikiwa inaendelea watu watakuwa wameshachoka kufatilia na moral unakwisha hii ni natural kwa mwanadamu.

(A FOOL LEARN A MISTAKE BY HIMSELF BUT WISEMAN LEARN THROUGH OTHERS).
Mwenzako alitangulia akaiacha Chadema inazidi kuwa MBUYU
 
Tuliwaonya Dunia ITASHUKA
Wallah huyu mama na serikali yake huwa wananifurahisha sana,yaani wana hela za kuchunguza ugaid lakin hawana hela la kununua bando la buku tatu la internet 🤣 🤣
 
Pole sana mkuu kwa hoja yako finyu,hujui maana ya international standards and norms za human rights ikiwemo haki za binadamu zilizomo kwenye UN universal declaration of human rights? hujui kwamba tanzania imetia saini kwenye mikataba mbalimbali ya kimataifa juu ya haki za binadamu?
Umemjibu vizuri sana Mkuu..
 
Back
Top Bottom