Ubalozi wa China wabadili utaratibu wa maombi ya Visa

affinitytz

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
280
Reaction score
1,151
Kwa wale ambao mara kadhaa tumesafiri ama kuomba visa ya kwenda China, kuna mabadiliko ya kuomba na kupata visa ya China kuanzia tarehe 31 March 2021.

Hapo awali ilikuwa tunajaza taarifa zetu online na kisha ku-print ile fomu na kuiwasilisha pale ubalozini pamoja na viambatanishi vingine.
Utaratibu ulikuwa rahisi maana unafika na fomu zako na kuonana na wale wafanyakazi pale ghorofani. Wanakagua fomu yako ya maombi ya visa na viambatanishi. Kama ameridhika basi atachukua finger print, kupiga picha na kuomba passport yako. Utapewa siku mbili hadi tatu za kusubiri. Utaenda kulipa bank na kupitia passport yako yenye visa pale ubalozini.
Utaratibu mpya ni kujaza taarifa zako mtandaoni baada ya kujisajili kupitia https:consular.mfa.gov.cn/VISA/ ikiwemo kuweka data page ya passport, kuambatanisha viambatanishi husika kutokana na aina ya visa unayotaka.
Baada ya hapo utawasilisha fomu yako online na utaendelea kufuatilia hatma ya maombi yako kupitia page yako kwenye hiyo website.

Kwenye page yako utakuwa unajulishwa kila hatua ikiwemo kukataliwa maombi yako ya VISA ama kukubaliwa maombi yako ambapo utatakiwa kulipa fee na kupangiwa tarehe ya kwenda ubalozini ukiwa na passport yako.

Wasafiri na wasafirishaji watu, hii system sio kama Utaratibu uliopita.
Jana taarifa kwa umakini.
 
Attachments

  • 20250331_102801.jpg
    20250331_102801.jpg
    205.3 KB · Views: 57

Asante kwa taarifa wale vishoka pale nje ya ubalozi watafute kazi za kufanya sasa.. Maana hakuna kupigwa tena
 
Kwa utaratibu huu sijui vishoka wataingia wapi ?
Maana utaratibu wa zamani wale jamaa walikuwa na nafasi ya kutoa msaada kwa malipo.
Maana kwa utaratibu mpya ni wewe na akaunti yako tu, taarifa zote unapewa kupitia account yako kwenye page ya https:www.consular.mfa.gov.cn
 
Back
Top Bottom