Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania watembelea ofisi za JamiiAfrica, jijini Dar

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,249
Reaction score
5,747
Leo, Agosti 04, 2026, Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano.

Denmark imekuwa mmoja wa wadau wa maendeleo wa karibu kwa JamiiAfrica kwa zaidi ya miaka 8 katika nyanja mbalimbali.

Ujumbe wa Ubalozi uliongozwa na Kaimu Balozi, Lise Abildgaard Sørensen.

2 (2).png
3 (2).png
4 (2).png
5b.png
6.png
 
Leo, Agosti 04, 2026, Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano.

Denmark imekuwa mmoja wa wadau wa maendeleo wa karibu kwa JamiiAfrica kwa zaidi ya miaka 8 katika nyanja mbalimbali.

Ujumbe wa Ubalozi uliongozwa na Kaimu Balozi, Lise Abildgaard Sørensen.

Kazi nzuri
 
Ni matamanio yangu siku moja niwatembelee hapo ofisini. Nafikiri taratibu mlizo jiwekea sio ngumu sana kwa ujio wa member hapo ofisini kwenu.

Ofisi ikiwaalika angalau members wanao tumia ID halisi na watakao kuwa willing waje kujifunza hili na lile na kubadilishana mawazo.
 
Leo, Agosti 04, 2026, Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano.

Denmark imekuwa mmoja wa wadau wa maendeleo wa karibu kwa JamiiAfrica kwa zaidi ya miaka 8 katika nyanja mbalimbali.

Ujumbe wa Ubalozi uliongozwa na Kaimu Balozi, Lise Abildgaard Sørensen.

Najisikia fahari sana kwa hizi taarifa.

Hongereni sana JF Staff
 
Kwani ofisi zenu ziko sehemu gani hapo Jijini Dar? Nataka siku moja nikipata nafasi ya kuja Jijini nije kuosha macho.

Halafu huyo Moderator aliyevaa tuviatu twa damu ya mzee, na tugauni tufupi twenye mabaka mabaka anaitwa nani?
 
Back
Top Bottom