Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania watembelea ofisi za JamiiAfrica, jijini Dar

Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania watembelea ofisi za JamiiAfrica, jijini Dar

JamiiAfrica imetembelewa na balozi wa nchi za Ulaya.
AMGL inatembelewa na balozi wa Urusi na China.
TBC inatembelewa na balozi wa Urusi na China.
Inatafakarisha!
 
Leo, Agosti 04, 2026, Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano.

Denmark imekuwa mmoja wa wadau wa maendeleo wa karibu kwa JamiiAfrica kwa zaidi ya miaka 8 katika nyanja mbalimbali.

Ujumbe wa Ubalozi uliongozwa na Kaimu Balozi, Lise Abildgaard Sørensen.

MUNGU ibariki JamiiAfrica na sote tunaoitumia vyema.
 
JamiiAfrica imetembelewa na balozi wa nchi za Ulaya.
AMGL inatembelewa na balozi wa Urusi na China.
TBC inatembelewa na balozi wa Urusi na China.
Inatafakarisha!
Urusi na china Wana uhuru wa kutoa maoni ??
Jiongeze
 
Mishahara yao inapatikana wapi kama hawafanyi biashara?
Are you serious? You don't know how they're making their earnings?
Kama haufahamu jinsi blogs au forums zinavyoingiza pesa then this isn't the right place for you to be participating.
 
Are you serious? You don't know how they're making?
Kana haufahamu jinsi blogs au forums zinavyoingiza pesa then this isn't the right place for you to be participating.
Sifahamu kila chanzo cha mapato yao, ndiyo maana nimeuliza swali.

Kuuliza si kosa, bali ni njia ya kupata ufafanuzi.

Kama unafahamu jinsi blogs au forums zinavyoingiza mapato, ningefurahi ukieleza badala ya kudhani kila mtu tayari anajua.

Lengo ni kujifunza, si kubezana.
 
Ni matamanio yangu siku moja niwatembelee hapo ofisini. Nafikiri taratibu mlizo jiwekea sio ngumu sana kwa ujio wa member hapo ofisini kwenu.

Ofisi ikiwaalika angalau members wanao tumia ID halisi na watakao kuwa willing waje kujifunza hili na lile na kubadilishana mawazo.
Karibu sana Mkuu
 
Back
Top Bottom