Ubalozi wa Kenya jirani na TISS

Ubalozi wa Kenya jirani na TISS

mossad007

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
1,165
Reaction score
852
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini.

Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo wa wenzetu katika kushirikiana na Tanzania kimataifa hasa EAC. Naona kulikua na haja ya kuchukua tahadhari kubwa ki location kuliko ilivyofanyika sasa. Nafaham kunakua na assesment nyingi za kiusalama kwa kila jambo ila hii haingii akilini.

Ni vyema kinga kuliko tiba.
 
Nadhani ni Tanzania pekee inayoweza kuruhusu kitengo chake nyeti kuwa karibu na balozi ya nchi nyingine! Ajabu!
 
hivi kumbe pale mitaa ya ubalozi jirani na ubalozi wa kenya ndo HQ ya tiss?!nilidhani makumbusho.vp kuhusu ubalozi wa USA kuwa jirani na HQ ya kampuni ya simu za mkononi-zantel pale msasani?ina athari gani za kiusalama kwa ubalozi and vice versa?wataalam....
 
Mwenye Jengo la Zantel ni Tajiri Jeuri Wamarekani walitaka kumuhamisha kwa pesa wakashindwa dau walilotoa yeye aliwapandia twice wampishe yeye lile eneo la Drive in Cinema ambalo ndio ulipo ubalozi wa Sasa wa Marekani...

Ubalozi wa Kenya mwanzoni haukuwa hapo bali Kenya ndio waliwafuata TISS mwashangaa nini hawa watu wa usalama wanatakiwa wawepo popote kazi zao haziingiliani na jirani zao.... kama mnaona hawatakiwi kuwa na watu basi si salama tena au waende wakaweke makao makuu kwenye visiwa vya bara hindi vipo vingi sana na nchi kavu.... mimi nadhani wakenya ndio wawe na wasi wasi na TISS na sio TISS
 
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini.

Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo wa wenzetu katika kushirikiana na Tanzania kimataifa hasa EAC. Naona kulikua na haja ya kuchukua tahadhari kubwa ki location kuliko ilivyofanyika sasa. Nafaham kunakua na assesment nyingi za kiusalama kwa kila jambo ila hii haingii akilini.

Ni vyema kinga kuliko tiba.

Pale hakuna tishoo...kwa technology ya Sasa hata ukiwa kilometa 100 au Zaidi unaweza kudaka mawasiliano.....nini pale
 
Mwenye Jengo la Zantel ni Tajiri Jeuri Wamarekani walitaka kumuhamisha kwa pesa wakashindwa dau walilotoa yeye aliwapandia twice wampishe yeye lile eneo la Drive in Cinema ambalo ndio ulipo ubalozi wa Sasa wa Marekani...

Ubalozi wa Kenya mwanzoni haukuwa hapo bali Kenya ndio waliwafuata TISS mwashangaa nini hawa watu wa usalama wanatakiwa wawepo popote kazi zao haziingiliani na jirani zao.... kama mnaona hawatakiwi kuwa na watu basi si salama tena au waende wakaweke makao makuu kwenye visiwa vya bara hindi vipo vingi sana na nchi kavu.... mimi nadhani wakenya ndio wawe na wasi wasi na TISS na sio TISS

Afteral Serikali Ndio waliowapa kile kiwanja..Tanzania imepewa viwanja Huko Nairobi kwenye Mtaa mzuri..NSSF walikuwa wanafikiria kujenga Jengo kubwa la kitega UCHUMI ..
Pale nje ya Uzio wa TISS ..unless otherwise na ugaidi huu ..ni nani amekubali ile baa iwe pale...Mimi naona ile Ndio hatari Zaidi ...Enzi Za Mwalimu pale Mtaa wote watu walijuwa ni pori tu...
Karibuni hapa watu waliouziwa nyumba jirani na maeneo ya Usalama waliambiwa watayarudisha serikalini...Nadhani Sasa umuhimu Ndio tunauona ....waafungua baa kwenye nyumba Zao ...!!!
 
I think Ubalozi wa Kenya ndo walitakiwa kuwa na wasiwasi na TISS and not the other way around
 
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini.

Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo wa wenzetu katika kushirikiana na Tanzania kimataifa hasa EAC. Naona kulikua na haja ya kuchukua tahadhari kubwa ki location kuliko ilivyofanyika sasa. Nafaham kunakua na assesment nyingi za kiusalama kwa kila jambo ila hii haingii akilini.

Ni vyema kinga kuliko tiba.

Hizi simu hazisikilizwi sababu ya ukaribu, zinasikilizwa kwa kutumia technology bila kujali umbali, ili mradi mazungumzo ni yale ambayo yanafanyika kwenye sayari yetu hii, yaani Duniani. Hii inamaanisha kuwa kusikiliza mazungumzo yanayofanyika tuseme USA ukiwa hapa Tanzania, ni sawa tu na kusikiliza mazungumzo yanayofanyika Kigamboni. Technology inapotumika swala la umbali linakuwa halina mantiki, unless kama unaongelea physical security!
 
Nadhani ni Tanzania pekee inayoweza kuruhusu kitengo chake nyeti kuwa karibu na balozi ya nchi nyingine! Ajabu!

Makao makuu ya Jeshi Kenya yametenganishwa na ukuta tu na balozi za Russia na China.Level za ujasusi siku hizi zipo next level hazitegemei sana physical location
 
Sio ukweli ukuta ukk mbali mno ni mtaa mmoja wako jjra I na kituo cha mafuta
 
Hizi simu hazisikilizwi sababu ya ukaribu, zinasikilizwa kwa kutumia technology bila kujali umbali,...
Labda anamaanisha kusikia mazungumzo moja kwa moja kutoka mdomoni mwa maofisa wa TISS kwenda sikioni kwa maofisa wa ubalozi wa Kenya kutokana na closeness ya majengo!
 
Hiyo sasa itakuwa kali ya aina yake, na actually hao watakuwa siyo TISS tena
 
ESPONAGE AKA UDUKUZI,,,,,,TISS TISS TISS,,,,,Basi na pombe wasinywe sasa maana watu watadukua habari nyeti
 
Labda anamaanisha kusikia mazungumzo moja kwa moja kutoka mdomoni mwa maofisa wa TISS kwenda sikioni kwa maofisa wa ubalozi wa Kenya kutokana na closeness ya majengo!

Hahaha
 
Mbona yale majengo yapo mbali mbali sana...ni kama viwanja viwili in between.
 
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini.

Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo wa wenzetu katika kushirikiana na Tanzania kimataifa hasa EAC. Naona kulikua na haja ya kuchukua tahadhari kubwa ki location kuliko ilivyofanyika sasa. Nafaham kunakua na assesment nyingi za kiusalama kwa kila jambo ila hii haingii akilini.

Ni vyema kinga kuliko tiba.

Mkuu, me navyojua makao makuu ya TISS yapo kunduchi, huko ndipo walipojenga HQ. sasa hii ya karibu na ubalozi wa kenya ni nini? nieleweshe mkuu
 
Mwenye Jengo la Zantel ni Tajiri Jeuri Wamarekani walitaka kumuhamisha kwa pesa wakashindwa dau walilotoa yeye aliwapandia twice wampishe yeye lile eneo la Drive in Cinema ambalo ndio ulipo ubalozi wa Sasa wa Marekani...

Ubalozi wa Kenya mwanzoni haukuwa hapo bali Kenya ndio waliwafuata TISS mwashangaa nini hawa watu wa usalama wanatakiwa wawepo popote kazi zao haziingiliani na jirani zao.... kama mnaona hawatakiwi kuwa na watu basi si salama tena au waende wakaweke makao makuu kwenye visiwa vya bara hindi vipo vingi sana na nchi kavu.... mimi nadhani wakenya ndio wawe na wasi wasi na TISS na sio TISS

Acha uongo....mbona husemi nini kilisababisha oilcome washindwe kuweka petrol station pale baada ya kuwa wamekamilishe ujenzi wote kwa ajili ya kuanza kuuza mafuta au umehamia dar juzi? si ajabu hata hujui pale ulipojengwa ubalozi wa marekani palikuwa nini kabla.
 
Back
Top Bottom