mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 852
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini.
Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo wa wenzetu katika kushirikiana na Tanzania kimataifa hasa EAC. Naona kulikua na haja ya kuchukua tahadhari kubwa ki location kuliko ilivyofanyika sasa. Nafaham kunakua na assesment nyingi za kiusalama kwa kila jambo ila hii haingii akilini.
Ni vyema kinga kuliko tiba.