hivi kumbe pale mitaa ya ubalozi jirani na ubalozi wa kenya ndo HQ ya tiss?!nilidhani makumbusho.vp kuhusu ubalozi wa USA kuwa jirani na HQ ya kampuni ya simu za mkononi-zantel pale msasani?ina athari gani za kiusalama kwa ubalozi and vice versa?wataalam....
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini.
Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo wa wenzetu katika kushirikiana na Tanzania kimataifa hasa EAC. Naona kulikua na haja ya kuchukua tahadhari kubwa ki location kuliko ilivyofanyika sasa. Nafaham kunakua na assesment nyingi za kiusalama kwa kila jambo ila hii haingii akilini.
Ni vyema kinga kuliko tiba.
Mwenye Jengo la Zantel ni Tajiri Jeuri Wamarekani walitaka kumuhamisha kwa pesa wakashindwa dau walilotoa yeye aliwapandia twice wampishe yeye lile eneo la Drive in Cinema ambalo ndio ulipo ubalozi wa Sasa wa Marekani...
Ubalozi wa Kenya mwanzoni haukuwa hapo bali Kenya ndio waliwafuata TISS mwashangaa nini hawa watu wa usalama wanatakiwa wawepo popote kazi zao haziingiliani na jirani zao.... kama mnaona hawatakiwi kuwa na watu basi si salama tena au waende wakaweke makao makuu kwenye visiwa vya bara hindi vipo vingi sana na nchi kavu.... mimi nadhani wakenya ndio wawe na wasi wasi na TISS na sio TISS

Nadhani ni Tanzania pekee inayoweza kuruhusu kitengo chake nyeti kuwa karibu na balozi ya nchi nyingine! Ajabu!
Labda anamaanisha kusikia mazungumzo moja kwa moja kutoka mdomoni mwa maofisa wa TISS kwenda sikioni kwa maofisa wa ubalozi wa Kenya kutokana na closeness ya majengo!Hizi simu hazisikilizwi sababu ya ukaribu, zinasikilizwa kwa kutumia technology bila kujali umbali,...
Labda anamaanisha kusikia mazungumzo moja kwa moja kutoka mdomoni mwa maofisa wa TISS kwenda sikioni kwa maofisa wa ubalozi wa Kenya kutokana na closeness ya majengo!