Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Huwa mnaanzaga hivyo hivyo alafu baada ya muda mtaanza kulia lia hapa nakuanza na #free Iran#. Chokozeni nyuki tu.Iran ameshawambia waondoke maeneo yote ya mashariki ya kati laa sivyo hawatakua salama sasa ni uamuzi wake achaguwe kufa au kuondoka.
Mpaka sahizi tunavyoongea marekani anabondwa huko Iraq na vikundi vinavyokua backups na Iran na hana uwezo wa kufanya lolote.Wachukue iraq,iran,falme za kiarabu,wanamgambo wa Palestine(Hamas), Hezbollah,IS,Alqaeda,Alshabab na wafia dini yenu wote haitokaa mkaizidi U.S.A kivyovyote.
Halafu leo mbona mna midomo mno kwani Israel hajaua vitoto huko gaza?....maana akipiga wakubwa hamsemi ila vitoto ndiyo mnalia mno utafikiri hao watoto wananafsi tatu...
Sasa hivi bikira zipo 73 imeongezeka 1 bikira maria ya mama wa yesu.Wewe si unalishwa propaganda kama zile za kupewa mabikra 72 ukifa ukimpigania Allah?
Umeshia darasa la ngapi? Hebu tumia hata hii simu yako kuijua Iran ni nani hapa duniani.Huwa mnaanzaga hivyo hivyo alafu baada ya muda mtaanza kulia lia hapa nakuanza na #free Iran#. Chokozeni nyuki tu.
Watoto na wanawake wataua palestina tu tena kwa muda mfupi sana kutoka sasa. Nakuhakikishia israeli itajuta kuwaua wapalestina. Na imeshaanza kuonja joto la Hamas.Siku wakijibu mapigo useme tena huu msemo sawa?. Usianze kuleta lawama kwamba wanaua watoto na wanawake sawa wewe mvaa kobazi
Basi kazana kumpigania Allah ili ukqjilie mabikra 73Sasa hivi bikira zipo 73 imeongezeka 1 bikira maria ya mama wa yesu.
Haya mawazo ya watu mlioishiwaBasi kazana kumpigania Allah ili ukqjilie mabikra 73
Hahaaaaa, jidanganyeni na muanze kujiliza. Yetu macho na masikio. Sasa si mpo alawakubali na hata pale Gaza mlianza hivyo hivyo.Umeshia darasa la ngapi? Hebu tumia hata hii simu yako kuijua Iran ni nani hapa duniani.
Sasa wewe nikuulize tu kama hamas anasaidiwa na Iran lakini anakomaa na israeli kiasi hiki bado Yemen, Iraq huko wanapoipiga marekani , Hezbollah wote hao anaewapa silaha ni iran umejiuliza huyo Iran uwezo wake upoje? Don't mess-up with Iran [emoji1130] aisee [emoji1787]Hahaaaaa, jidanganyeni na muanze kujiliza. Yetu macho na masikio. Sasa si mpo alawakubali na hata pale Gaza mlianza hivyo hivyo.
Kuna damu za kiyaudi kweli.( Persion Jews)Nakubali wa Iran siyo waarabu ni waajemi na hawana undugu na wayahudi ile ni race tofauti kabisa pale Middle East .
Hahaaaaaa nyie maamuma mmekuwa kama.mashabiki wa Simba. Mnajitafutizia furaha. Hatuombei vita ila Yetu macho mkuu. Byeeeeeee umeshinda.Sasa wewe nikuulize tu kama hamas anasaidiwa na Iran lakini anakomaa na israeli kiasi hiki bado Yemen, Iraq huko wanapoipiga marekani , Hezbollah wote hao anaewapa silaha ni iran umejiuliza huyo Iran uwezo wake upoje? Don't mess-up with Iran [emoji1130] aisee [emoji1787]
Iran ilishafanyiwa kitu kibaya na Marekani miaka Sasa Iran imewekewa vikwazo vya kiuchumi na kibiashara Iran kutwa anaomba viondolewe mmarekani hataki Ndio maana Iran ilikataa kujitosa kichwa kichwa kusaidia Sasa hivi wapalestina anaogopa kupewa vikwazo zaidi na mataifa ya ulayaIran ndio mfadhili wa vita ya Hamas na israel kama ulikua hujui kwa ujinga wako. Houth, Hezbollah, Hamas hao wote wanapata silaha na fedha kutoka Iran na marekani na israeli wanajua na hakuna anaeweza kufanya lolote kwa Iran.
Ndiyo hivyo wanavyojifariji baada ya Saddam Hussein kuuwawa, sijui kesho watanyonga nani tena πππ....Mpaka sahizi tunavyoongea marekani anabondwa huko Iraq na vikundi vinavyokua backups na Iran na hana uwezo wa kufanya lolote.
Yemen wanaongea kwa jeuri kwa sababu ya Iran na wanaipiga Israel nankuchukua meli zao kwa sababu ya Iran, Hezbollah wanaitwanga israeli kila siku kwa sababu ya Iran. Alshababu wapo somali hawana ukaribu na Iran, alqaeda haipo tena Afghanistan imeshajipatia uhuru kutoka kwa marekani.