Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Huwa mnaanzaga hivyo hivyo alafu baada ya muda mtaanza kulia lia hapa nakuanza na #free Iran#. Chokozeni nyuki tu.Iran ameshawambia waondoke maeneo yote ya mashariki ya kati laa sivyo hawatakua salama sasa ni uamuzi wake achaguwe kufa au kuondoka.