macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni nchi nyingi zimewaambia raia wake warudi nyumbani. Nimeshindwa kujua mantiki yao. Europe kwenye viwanja vya ndege kuna msongamano wa raia wanaorudi nchi za nyumbani kwao.Wapumbavu hawa wamarekani
Maelezo ni kutokana na hilo tangazo la wamarekani au umejiongeza kama kawaida watanzania tukipata kichwa cha habari tu?Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Wapo wazi kwa kutoa taarifa, hamna tishio kwa mtu kutoa taarifa kuhusu Covid-19, hamna anayepingana na ushauri wa wataalam, kama kujiepusha na mikusanyiko!Sasa mbona hao wamarekani hawachukui "HATUA SAHIHI ZA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI "?.
Unataka kuzima moto kwa mwenzio wakati kwako kuna teketea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Saguda47 amelike kumbe jamaa yupo
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300

Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hao WHO Si ndio US wenyewe?Yaani WHO, dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani, acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee, tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii, basi tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Marekani ni kubwa mkuu. Usitafute sababu za kijinga za kutokuchukua hatua stahiki kwenye gonjwa hili ikiwemo social distancing. Hilo kutokufanyika Tanzania, linawafanya waone kuwa raia wao wako matatani zaidi. Kwao wanapambana na gonjwa hili kwa kila namna. Sisi tume relax tunatembea vifua mbere?kwa hiyo kma walishajua nini kimepelekea wao kufikia elf 85 na zaidi kwa sasa na sisi kuendelea kubaki 13, na kenya kuwa 31, yaani huku kwetu hesabu kuwa chini kuliko kwao, wewe unayeiabudu Marekani utwambie...
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiooWaziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametest positive Corona, haya bado tu wanataka kurudi home?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu gani? Unawaombea wazungu wala hautangulizi waafrica wenzio!!Mungu wabariki Wazungu