Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.

Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Maelezo ni kutokana na hilo tangazo la wamarekani au umejiongeza kama kawaida watanzania tukipata kichwa cha habari tu?
 
Sasa mbona hao wamarekani hawachukui "HATUA SAHIHI ZA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI "?.
Unataka kuzima moto kwa mwenzio wakati kwako kuna teketea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wazi kwa kutoa taarifa, hamna tishio kwa mtu kutoa taarifa kuhusu Covid-19, hamna anayepingana na ushauri wa wataalam, kama kujiepusha na mikusanyiko!
 
Waende kwao wakapambane nao,

Hata hivyo kwa hali ilivyo kwao sidhani kama wengi watajitokeza,ni mbwembwe zao tu
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19

Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia

Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho

Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washamaliza Yao wanasepa

Huko kwenye vifaa vya maana vya kimatibabu wanakufa kama nzige ,lets them go immediately
Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.

Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani WHO, dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani, acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee, tuliza akili.

Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii, basi tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Hao WHO Si ndio US wenyewe?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Hilo tangazo linatokana na rai kwa wamarekani wote ulimwenguni kuwa ikiwa wanataka kurejea kwao wakati muhali ni sasa kwani hawataweza kufanya hivyo ikiwa kule kwao serikali itazuia kabisa watu kuingia. Hivyo kila ubalozi unatekeleza agizo hilo kwa kuli-customize kulingana na hali halisi ya hosting country.

Kwa Tanzania, ikiwa kuna mmarekani yeyote anadhani kuwa kwao ni salama kuliko hapa, basi huyo atakuwa na tatizo kubwa sana kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yao sana...

They are safe here more than wakienda huko marekani...

Wanaenda kufa huko...

Cc: mahondaw
 
kwa hiyo kma walishajua nini kimepelekea wao kufikia elf 85 na zaidi kwa sasa na sisi kuendelea kubaki 13, na kenya kuwa 31, yaani huku kwetu hesabu kuwa chini kuliko kwao, wewe unayeiabudu Marekani utwambie...

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani ni kubwa mkuu. Usitafute sababu za kijinga za kutokuchukua hatua stahiki kwenye gonjwa hili ikiwemo social distancing. Hilo kutokufanyika Tanzania, linawafanya waone kuwa raia wao wako matatani zaidi. Kwao wanapambana na gonjwa hili kwa kila namna. Sisi tume relax tunatembea vifua mbere?
 
Brirtish Health Secretary Has also tested positive.....

1585314457427.png

acha waende wakaugue,.....
 
I'm beginning to suspect the virus is airborne
 
Back
Top Bottom