mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Kwaio mnataka mlazimishe tuseme tunawagonjwa laki mbil ili muone Raha mbona hata NCH zingine zote za Africa hazina idad kubwa pia tofaut na SA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app